Madoa kwenye nguo baada ya kupiga pasi

Mafian cartel

JF-Expert Member
Nov 19, 2021
3,604
6,611
Habari zenu wakubwa..natumaini wote ni wazima

Hizi siku mbili tatu nimepata changamoto kwenye nguo zangu.Nguo zinabaki na madoa baada ya kuzipiga pasi,mpaka sasa nguo kama tano hivi zina madoa na nimejaribu kuzifua lakini madoa hayatoki na sijajua inakuaje mpaka pasi inaacha doa kwenye nguo

Kama kuna mtu anafahamu chanzo au alishawahi kupitia changamoto hii naomba anipe muongozo na jinsi ya kuondoa hayo madoa kama inawezekana

Madoa yenyewe yanaonekana hapo chini kwenye picha
20221204_183159.jpg
 
Back
Top Bottom