Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,240
Mkuu yatakushinda
jamani, wewe si ulihamia China ukatuaga kabisa hapa?
Mkuu yatakushinda
Report ya makanikia imenirudisha harakajamani, wewe si ulihamia China ukatuaga kabisa hapa?
Report ya makanikia imenirudisha haraka
Ka! You are also beyond ordinary kwa hili.Solution ni kuvaa chupi nyeusi/brown.
Yakitokea na hapa basi ujue una nyota ya ndege kanga (you are beyond ordinary dirtiness)
Chanzo cha hayo madoa hujatuambia ila anyway mimi nilishawahi ona chupi imeanikwa ina kitobo mim nadhan huyo alio anika solution yake ni nzur sehem yenye doa unaikata na kiwembe asanteni

For sure.Kukwepa pichu nyeupe ni dalili ya uchafu
madoa ya nini? kuna kitu kinaotwa omo ya maji hebu tumia kama hujaanika chupi zako hata barabarani.chupi inawaka kuliko jua
noma sanaTusidanganyane kila rangi ina mahala pake,siwezi vaa chupi nyeupe kwenye linen nyeupe lazima itajichora ila nikivaa nyeusi wala hata haioneshi ni sawa na mdada unamkuta kavaa blouse nyeupe na bra nyeupe imejichoooora hadi keroHahahaha eti chupi nyeusi/brown....Zote hizo za nn;ukijua kufua wala hakuna tatizo
Chanzo cha hayo madoa hujatuambia ila anyway mimi nilishawahi ona chupi imeanikwa ina kitobo mim nadhan huyo alio anika solution yake ni nzur sehem yenye doa unaikata na kiwembe asanteni

Mwanamke usafi/urembo...Hiyo ni dalili ya uchafu na uvivu!
Nikikutana na mwanamke kavaa chupi nyeusi hamu inaisha hapohapo.
Chupi yako ina madoa mkuu sura yako inaonyeshaMmmh noma sana
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Chanzo cha hayo madoa hujatuambia ila anyway mimi nilishawahi ona chupi imeanikwa ina kitobo mim nadhan huyo alio anika solution yake ni nzur sehem yenye doa unaikata na kiwembe asanteni