Waambieni NEC waitishe uchaguzi kwenye Kata zote ambako madiwani wameondoka. Wewe unaloloma weee wakati wenye chama wanajua kuwa wakiitisha uchaguzi wataambulia aibu! Sijui kwanini awamu hii kiwango cha ujinga kinaongezeka kwa kasi sana!Kisingizio cha mwenyekiti wenu ni kuhongwa sasa subirini wanachama zaidi waendelee kula mpunga