Madiwani watatu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Iringa wamejiuzulu

Kisingizio cha mwenyekiti wenu ni kuhongwa sasa subirini wanachama zaidi waendelee kula mpunga
Waambieni NEC waitishe uchaguzi kwenye Kata zote ambako madiwani wameondoka. Wewe unaloloma weee wakati wenye chama wanajua kuwa wakiitisha uchaguzi wataambulia aibu! Sijui kwanini awamu hii kiwango cha ujinga kinaongezeka kwa kasi sana!
 
Tukisema CHADEMA mjitafakari mnabaki kusema eti wananunuliwa,wanahongwa...si kweliii kuna kitu kinakosekana kwenye Uongozi CHADEMA,kuna Ombwe kubwa sana la Uongozi ndani ya CHADEMA mjitafakari..
 
Waambieni NEC waitishe uchaguzi kwenye Kata zote ambako madiwani wameondoka. Wewe unaloloma weee wakati wenye chama wanajua kuwa wakiitisha uchaguzi wataambulia aibu! Sijui kwanini awamu hii kiwango cha ujinga kinaongezeka kwa kasi sana!
Hizi ndio sounds zenu ...mara hoo october 2015 ushindi ni asubuhi...mwisho wa siku mkaambulia kilio!
 
Breaking news

Madiwani wa 3 iringa (CHADEMA) mjini wameandika barua za kujiuzuru udiwani Muda huu leo Agost 23,2017

My take:

Peter Msigwa jikague
 
Back
Top Bottom