Jumatatu unaanza harakati za kuutafuta ubunge, vipi utakuwepo huko....
Mkuu hii kesi haiwezi kuamuliwa bila kupitia katiba ya CHADEMA maana huo ndiyo msingi wa ni namna gani mwanachama anapoteza sifa ya kuwa mwanachadema period. It is that simple, no rocket science!!!!!!!!
Uoga ni dhambi kubwa kuliko zote....kwanini usianzishe wewe hiyo thread mimi sina ushabiki tofauti na wewe umejaa unafiki....Mkuu nitakuwepo lakini nitajitahidi kukaa mbali na wewe naogopa mizinga.Naomba uanzishe thread yake na uripoti bila ushabiki.
ungetoa ushauri huu kwa mawaziri wa CCM pia na wakaufanyia kazi basi tusinge kuwa tuna rumbana hapa...Nakuona ndugu yangu umekuwa na JAZBa kiasi cha kutojua KAZI ZA MAHAKAMA. Sasa napenda kukujuza kuwa kazi ya mahakama ni kutafsiri sheria ikiwemo hiyo katiba ya Chadema na kuhakikisha haki inatendeka kwa pande zote kwa maana washitakiwa na washitaki.
Naomba uwe na Subra na kuipa mahakama nafasi ifanye kazi yake pasi na shida ili watoe uamuzi sahihi pasi na kupendelea upande wowote. Huo ndio unaitwa Utawala wa Sheria.
kesi inaindelea leo...
<br />mawakili wa malla na wenzake hawakufika mahakamani wakamtuma dada moja kuja kuomba kesi isomwe baada ya siku 14 lakini hakim amekata na badala yake itasomwa tarehe 13..watu walikuwa ni wengi sana walio jitokeza kujua kufatilia kesi hii
Mkuu Ngongo, upo.....Heshima kwako Ruta.
Mkuu tuko pamoja kabisa.
Mkuu Baru utashangaa viongozi na baadhi ya wanachama wa CDM tayari wameshatoa hukumu Mahakama ikitoa hukumu yake tofauti na walivyotarajia hawakawi ohoo Hakimu kahongwa.