Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 54,748
- 102,567
Mlikataa ushahidi wa kwanza. Je, umewahi kusikia kitu kinaitwa ushahidi wa kimazingira? Hata ungekuwa "punguwahed", unapaswa kujiongeza kimtindo. Ushahidi wa kubaka hauhitaji uone "kibamia" kimejilaza ndani!!!!Tena wanajitolea...kuna ubaya gani hapo!?