mbazitz
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 731
- 1,014
Hii ni hujuma kubwa sana dhidi ya demokrasia hawa wana kesi ya kujibu mbele ya wapiga kura na mbele ya Mungu laana inafanya kazi kizazi cha kwanza hadi cha nne kwa hiyo wasipoadhibiwa wao wataadhibiwa watoto wao ama wajukuu wao ama vitukuu vyao.
Time wil tell .
Sent using Jamii Forums mobile app
Time wil tell .
Sent using Jamii Forums mobile app