Madiwani waliojiuzulu Arumeru waajiriwa halmashauri

Madiwani waliojiuzulu Arumeru waajiriwa halmashauri

Nguvu wanayotumia ccm kuumaliza upinzani ni kubwa kuliko ya kuleta maendeleo
 
kushinda usaili? hujasoma alichosema DED wa Arusha (R)? eti wameomba kujitolea kufanya kazi halmshauri lakini kukitokea nafasi za ajira wao ndio watapewa kipaumbele. issue ya madiwani hawa kujiuzulu sasa ipo clear na hahihitaji hata elimu ya Form Six kung'amua kilichotokea na kinachoendelea
Dunia nzima maajabu haya yanayotokea Tanzania tu
 
Ngoja tuwaone wale wazee wa kuvunja vibuyu maana hawa madiwani wametufanya mafala sana.
 
Wana weledi unaotakiwa,au ni mambo ya siasa tu.Kwa uzoevu wangu madiwani wengi katika awamu za tatu na na nne walitumia rushwa na mizengwe kushinda uchaguzi,lakini weledi zero.Sasa naomba tusirudi huko,only the qualified should be employed,siasa ziwekwe pembeni.
 
Ebu tueleze ulibadili lini msimamo wa kukipinga chama tawala ulichokuwa unakitetea sana hapo awali.
Sijawahi kuitetea ccm na sitoitetea ccm....CHAMA CHAKAVU....

In God we trust
 
Back
Top Bottom