Tairi bovu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 3,063
- 2,991
Ile tume ya ajira ilikufa vileeeehkushinda usaili? hujasoma alichosema DED wa Arusha (R)? eti wameomba kujitolea kufanya kazi halmshauri lakini kukitokea nafasi za ajira wao ndio watapewa kipaumbele. issue ya madiwani hawa kujiuzulu sasa ipo clear na hahihitaji hata elimu ya Form Six kung'amua kilichotokea na kinachoendelea