Madiwani waliojiuzulu Arumeru waajiriwa halmashauri

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,937
Reaction score
5,211
Hapa kazi tu

Screenshot from 2017-07-18 09-23-59.png
 
Kama wameajiriwa kwa kushinda usaili hakuna tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
kushinda usaili? hujasoma alichosema DED wa Arusha (R)? eti wameomba kujitolea kufanya kazi halmshauri lakini kukitokea nafasi za ajira wao ndio watapewa kipaumbele. issue ya madiwani hawa kujiuzulu sasa ipo clear na hahihitaji hata elimu ya Form Six kung'amua kilichotokea na kinachoendelea
 
Kwanza ifahamike, Madiwani waliojiudhuru Arurumeru ni sita, aliyeajiriwa kwa kujitolea Arusha ni mmoja hiyo lugha ya "Baadhi ya Madiwani" kuajiliwa INA nia ya kupotosha wananchi. Hata kama ni kweli, MTU akiwa hana kazi haruhusiwi kitafuta kazi na akitafuta isiwe serikali ni akafanye kwenye shamba la Mbowe? Chadema haina viongozi waliopo serikali ni?
 
Mkuu, huyo mmoja alyeajiriwa kaajiriwa ili kutimiza matakwa ya mkataba wa kujiuzuru, kwa kuwa Hilo ni sharti alilotowa wakati anakubali ushawishi wa Dallas.
 
Kwanza ifahamike, Madiwani waliojiudhuru Arurumeru ni sita, aliyeajiriwa kwa kujitolea Arusha ni mmoja hiyo lugha ya "Baadhi ya Madiwani" kuajiliwa INA nia ya kupotosha wananchi. Hata kama ni kweli, MTU akiwa hana kazi haruhusiwi kitafuta kazi na akitafuta isiwe serikali ni akafanye kwenye shamba la Mbowe? Chadema haina viongozi waliopo serikali ni?
Nadhani ni habari toka gazeti la Tanzania Daima.
 
Mambo ya ajira mpya hayo!! Nakumbuka kuna kipindi vijana waliotoka chuo walikua wamepata ajira Serikalini alafu ghafla zikasimamishwa kwasababu zoezi la uhakiki lilikua linaendelea wakati huohuo wakaajiriwa ma-DED na Ma-DAS kibao kutoka mtaani kwa mgongo wa uteuzi
 
Back
Top Bottom