Madiwani waliojiuzulu Arumeru waajiriwa halmashauri

Madiwani waliojiuzulu Arumeru waajiriwa halmashauri

Kwanza ifahamike, Madiwani waliojiudhuru Arurumeru ni sita, aliyeajiriwa kwa kujitolea Arusha ni mmoja hiyo lugha ya "Baadhi ya Madiwani" kuajiliwa INA nia ya kupotosha wananchi. Hata kama ni kweli, MTU akiwa hana kazi haruhusiwi kitafuta kazi na akitafuta isiwe serikali ni akafanye kwenye shamba la Mbowe? Chadema haina viongozi waliopo serikali ni?
Kwa mtazamo wako uliona hilo ni sawa kama c ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!! Mikakati mingine ni ya kishamba sana, kwa wenye akili tumeisha elewa lengo la mpango huu ni kuwa hao Madiwani walionunuliwa wataajiliwa Kama Watendaji wa Kata na ifahamike Hawa ndio wasimamizi wa Uchaguzi ngazi ya Kata hivyo watapewa nafasi hizo ili kuharibu uchaguzi kwa kuipendelea CCM ili CDM ishindwe lakini ninachokiona watakuwa wanahatarisha usalama wao kwani wananchi wa siku hizi hawawezi lea upuuzi.
 
Ccm walitumia hela kwenye vikao vyao kuwamwaga wale wasaliti wa chama kipindi cha uchaguzi mnamo 2015 Leo chadema inasaidiwa kuwatoa wasaliti wa chama kwa pesa za ccm wenyewe ni naona sahihi mana watabaki wenyewe 2020 bila wasaliti ndo mbinu ya ushindi hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa hivi kutambua mwanaume ni kazi kubwa sana, yaani wanaume wa ukweli hakuna tena..
 
kushinda usaili? hujasoma alichosema DED wa Arusha (R)? eti wameomba kujitolea kufanya kazi halmshauri lakini kukitokea nafasi za ajira wao ndio watapewa kipaumbele. issue ya madiwani hawa kujiuzulu sasa ipo clear na hahihitaji hata elimu ya Form Six kung'amua kilichotokea na kinachoendelea
Huyo Mkurugenzi Mahera namjua sana huyo. kada wa nguvu wa Chama Cha Makinikia. yupo kazini hapo. anatafuta cheo cha juu zaidi.
 
Mkuu, huyo mmoja alyeajiriwa kaajiriwa ili kutimiza matakwa ya mkataba wa kujiuzuru, kwa kuwa Hilo ni sharti alilotowa wakati anakubali ushawishi wa Dallas.
Hayo makubaliano ya kuingizana mkenge hayaingii akilini, Ajiuzuru arumeru akaajiliwe Arusha kwenye halmashauri zinazpongozwa na Madiwani wa Chadema? Kwanini asipelekwe wilaya akawe guru na kazi take?
 
Mambo ya ajira mpya hayo!! Nakumbuka kuna kipindi vijana waliotoka chuo walikua wamepata ajira Serikalini alafu ghafla zikasimamishwa kwasababu zoezi la uhakiki lilikua linaendelea wakati huohuo wakaajiriwa ma-DED na Ma-DAS kibao kutoka mtaani kwa mgongo wa uteuzi

Hivi unashindaje uchaguzi kuwa chama tawala halafu uishi kama chama cha upinzani. Tuweni wakweli kwani unashinda uchaguzi ili iweje? Si ushike madaraka? Na madaraka maana yake nini? Si watu waishi kwa mipango yako na wewe ukiishi vizuri zaidi? Au kushika madaraka ni kushinda njaa?

Yaani ule mcruza wa kiongozi wa upinzani bungeni na dola elfu tatu kila mwezi kulipia nyumba apewe Dovutwa badala ya Freeman? Aaah jamani, masihara hayo!
 
ndani ya CCM ndimo kwenye mizizi ya rushwa!! hii vita ni ngumu mno kupigana nayo ukiwa within.
 
Back
Top Bottom