Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
Aliposema NAPE , vyama vya upinzani vijiwekeze katika kutafuta wanachama wapya, watu wakamzomea, wenye akili
waliielewa ile kauli vyema.
waliielewa ile kauli vyema.
Nakubaliana na wewe kuwa CCM ndiko kunakomfaa huyu diwani. Kinachouwa CCM ni kukosa ujasiri wa kufanya maamuzi magumu. Na la kushangaza sasa hivi CCM wanatamba kuwa ndicho chama kinachoruhusu demokrasia! Yaani unaacha kuwachukulia watu wanaokwenda kinyume na maadili ya chama hatua kwa visingizio vya demokrasia! Au unaacha kufukuza watu wazembe (soma report ya CAG) kwa sababu ya demokrasia? Wanachofanya CHADEMA ndicho kinatakiwa kwa hapa tulipofikia Tanzania. Mijadala hakuna.

Cdm hakimfai tunamkaribisha ccm.Sidhan kama ni solution cdm kuendelea kufukuza wanachama,inaonesha ni watu wanaokurupuka,kwan hawana kamati ya maadili ya chama ambapo mwanachama anapokosea anawekwa kitimoto.Hawa jamaa tukiwapa nchi tutaingia machafukon coz chama hakijaiva kukamata dola, kama tu mtu mmoja ndan ya chama tena diwan anaweza kuyumbisha kiasi hicho,hiki ni chama cha watu wa kasikazin tuwaachie wenyewe.
Tutafika tu katika kuiweka tanzania mikononi mwa wazalendo. Mungu ibariki tanzania mungu ibariki chadema na dk slaa......semeni amina
Mkuu Kimbunga huyu Diwani Henry Matata wa Kitangiri Mwanza si ndio mwenye Magnum Hotel?
Nakubaliana na wewe kuwa CCM ndiko kunakomfaa huyu diwani. Kinachouwa CCM ni kukosa ujasiri wa kufanya maamuzi magumu. Na la kushangaza sasa hivi CCM wanatamba kuwa ndicho chama kinachoruhusu demokrasia! Yaani unaacha kuwachukulia watu wanaokwenda kinyume na maadili ya chama hatua kwa visingizio vya demokrasia! Au unaacha kufukuza watu wazembe (soma report ya CAG) kwa sababu ya demokrasia? Wanachofanya CHADEMA ndicho kinatakiwa kwa hapa tulipofikia Tanzania. Mijadala hakuna.
Kweli nimeamini CDM ni chama cha watu wachache na wasiotaka kupingwa kwa lolote hata kama ni baya na halina maslahi kwa taifa.Kwa hali hii sisi wananchi tumejifunza na kugundua kuwa CDM hakifai kupewa madaraka ya kuongoza nchi hii na niwaomba watanzania waache kushabikia biashara haramu zinazofanyika ndani ya chadema.Taarifa ya habri ya Star Tv imeonyesha vizuri sana jinsi kijana ambaye ni Diwani alivyokuwa anasimamia na kutaka mafanikio/maendeleo ya wananchi waliompigia kura, kumbe mabwana wakubwa walichukia kwa kuwa anaengoza halmashauri ni meya wa chadema hivyo kumuona kijana msaliti.Nawashauri wana Mwanza kuachana na ushabiki wa hiki chama na kuchagua CCM ili wapate maendeleo bila kuwekeana mizengwe.Mwaka 2015 majimbo yote yatarudi CCM kwani sijaona Wenje na wengine na hata Lema wa Arusha alikuwa anachochea migogoro utafikili waliomchagua wamemtuma akachochee migogoro isiyo na tija.