Bado hawaamini hawa jamaa, ila mwaka huu hawana ujanaja tena na mbinu zao zile wanazojivunia hazina nafasi tena.
atakama ni wewe si ungenyamaza kimya unataka aongei nini wakati hali ni mbaya kiasi hicho atakama ni wewe ungejiona mwenye nuksi kupokonywa tonge mdomoni!!!Makufuli je upo hapo!!!?