Madiwani wa CCM Kahama jimbo la Lembeli, wahiamia CHADEMA!

Cha muhimu kuliko vyote ni kulinda kura zetu kwa hali na mali bila kujali outcome mbaya ambayo inaweza kutupata kwa kulinda kura zetu zisiporwe na mafisadi wa CCM

Hili ndo la muhimu, mpaka sasa ushindi ni wetu
 
Mabadiliko yakifika wala huwezi kuyazuia, ndicho kinachoendelea kwa CHADEMA na Ukawa kiujumla kuchukua nchi.
 
Nadhani Kinana alikuwa (ga) fundi mjenzi mzuri sana zamani. Picha nying anaonekana akikumbushia utaalamu wake.
 
Makufuli muda wowote nguo za kijani zitamdondoka mzee wa watu, maana aibu hii kaangushiwa na mashemeji mtu✌️✌✌
 
Makufuli muda wowote nguo za kijani zitamdondoka mzee wa watu, maana aibu hii kaangushiwa na mashemeji mtu✌️✌✌
Naye kajitapa eti Lowassa siyo size yake, ngoja yatamtokea puani. Ajabu eti Magufuli anajitapa kwa Lowassa!
 
Back
Top Bottom