Madiwani wa CCM Kahama jimbo la Lembeli, wahiamia CHADEMA!

Hao madiwani watapambana na wapinzani gani au kuna maridhiano kati yao na waliotegemea kuwania kupitia ccm?
 
Duh..huku rafiki yangu Ndugai anazibua watu............Kule watu wanahama.....

Kuna haja ya kuwanunulia CCM nakala ya kitabu cha "TUJISAHIHISHE" ....kuna tips watazipata za kuwasaidia warudishe uimara wa chama
 
CCM mkubali ama mkatae huu ndiyo mwaka wenu wa mwisho kutawala. Lowassa amethubutu hakika mtaisoma namba sasa.
 
Sitashangaa kama ndani ya siku mbili hizi nikisoma mahali pameandikwa;
BREAKING NEWS; Magufuli aamua kujitoa na kusema jamani mie basi sitaki tena maana siyawezi haya mafuriko chagueni mwingine apeperushe bendera aibu sitaki.
 
Dah huku kahama shangwe tupu madiwani wote wa CCM wahamia Chadema,Ni full shangwe hapa down town kahama
 
Sitashangaa kama ndani ya siku mbili hizi nikisoma mahali pameandikwa;
BREAKING NEWS; Magufuli aamua kujitoa na kusema jamani mie basi sitaki tena maana siyawezi haya mafuriko chagueni mwingine apeperushe bendera aibu sitaki.

Mkuu hili jumaa lazima tupate wageni wengi wa kuja Ukawa kwa mstakabali mzuri wa maisha yao ya siasa.
 
Back
Top Bottom