Madiwani wa CCM Kahama jimbo la Lembeli, wahiamia CHADEMA!

Naomba utaratibu wa kisheria kuzuia CCM wasije kuuza viwanja vya michezo in btn this three months. Lakini nilimpenda Dr. Slaa ila basi tena
 
Kwa hiyo CCM Kahama imejigeuza na kuwa CHADEMA? Sijui watawezaje kudhibiti haya, je nini ya wagombea waliokuwepo wa CHADEMA? Tahadhari isije ikawa vifo ya vyama viwili?
 
Tatizo chama kimepewa watoto sasa wanatukana wazee mfano Nepi
 
Back
Top Bottom