Madiwani wa CCM Kahama jimbo la Lembeli, wahiamia CHADEMA!

Bado hawaamini hawa jamaa, ila mwaka huu hawana ujanaja tena na mbinu zao zile wanazojivunia hazina nafasi tena.

Cha muhimu kuliko vyote ni kulinda kura zetu kwa hali na mali bila kujali outcome mbaya ambayo inaweza kutupata kwa kulinda kura zetu zisiporwe na mafisadi wa CCM
 
uuuuuhhhhh...kimenukaaaa Kahama...madiwani wote wa CCM waenda CHADEMA...itv news
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom