RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,411
- 135,042
Fundi wako mbovu. Kama fundi mzuri hayapitishi mbu. Tatizo siku hizi kila mtu ni fundi wa madirisha ya aluminium.Habari ndugu zangu.
Mimi nina jambo dogo, madirisha ya alminium, yanayo-slide yana upenyo naona kwenye nyumba yangu yenye wavu wa mbu kwenye madirisha mbu wanapita! Hizi reli zinaacha nafasi.
Hivi tatizo hili wengine mnalo? Au mmelizuiaje? Au mnalikabilije? Nisaidieni jamani.