Madini adimu duniani tunawapa wageni na kuishia kupata 16%

Unaambiwa yale madini ya pale Ngwala-Songwe ni moja ya madini adhimu sana duniani na matumizi yake ndio yanaenda kutawala kwenye miaka 50 ijayo duniani (Rare Earth Minerals au Strategic & Critical Minerals).

Ukitaka kupima vision ya Taifa letu unaweza ukaona jinsi gani hata madini ya namna hiyo tunawapa wawekezaji kwa mchanganuo wa 16% kama dhahabu ambayo tunayo almost kila kona ya Nchi!

Madini haya yangegundulika nchi serious kama China then Mmarekani au Mjapani aende na uwekezaji wake hata wa dola zote duniani hawezi kupewa! Common!

Hii ngoma tunataka tuupeleke wapi (hii NCHI tunataka iweje by mwaka let say 2050)? Do we have that vision?

Hivi tunataka tutengeneze Taifa la namna gani na lini?Je, tunajihoji maswali haya tukiwa kitandani, ofisini au nyumbani?

Mbombo ngafu!

View attachment 2599261

"Wiki hii serikali ya Tanzania ilisaini mkataba na makampuni matatu ya Australia kwa thamani ya dola milioni 667. Kwahiyo makampuni ya Australia yana haki za uchimbaji wa madini kwenye migodi matatu nchini Tanzania kwa lengo la kuchimba madini adimu ya ardhi na grafiti.

"Madini haya ni muhimu sana katika maendeleo ya teknolojia, mfano teknolojia za umeme, betri, magari, simu za mkononi, kompyuta mpakato (laptops) na grafiti inajulikana kutumika katika upakaji hasi wa betri ya lithiamu ion.

"Hii inaonyesha jinsi kampuni za kigeni zinavyowekeza Afrika na kutajirika maradufu kutoka kwenye rasilimali na madini ya Afrika. Dola milioni 667 kwa ajili ya migodi mitatu ni upuuzi. Wakati mgodi mmojawapo utatengeneza mabilioni na mabilioni ya dola."
=====

Nakili kiunganishi

Madini hayo ya kipekee yamepatikana katika maeneo ya Chilalo Wilayani Lindi, Epanko Wilayani Ulanga, na Nguala Wilayani Songwe. Makubaliano hayo ni sehemu ya mkakati wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan wa kuimarisha mchango wa sekta ya madini katika uchumi wa taifa hilo kwa angalau asilimia 10 kufikia mwaka 2025.

Kwa mujibu wa mwakilishi wa timu ya majadiliano ya Tanzania Palamagamba Kabudi, nchi hiyo itanufaika na asilimia 16 katika kila mradi. Mataifa ya Magharibi yanajaribu kupunguza utegemezi wao kwa China katika madini ya Kinywe na adimu.

Madini hayo ni muhimu katika vifaa vya elektroniki kama vile simu za kisasa, kompyuta na betri pamoja na teknolojia ya kisasa ambayo inaweza kupunguza utegemezi wa nishati ya mafuta.

DW
kinachouma zaidi ni kwamba;
- sio tu tunawapa,, labda nyuma ya pazia tukijipanga kuchimba na ku process wenyewe yaliyopo sehemu nyingine, ili kupata the most out of it, Tunawapa kwa moyo mkunjufu na Pride juu yake kuwa hapa tumefanikiwa. Hatuna plans nyingine zozote zaidi ya hii

sisi kazi yetu ni kutembeza bakuli - yaani sisi tunawapa utajiri , wao wanatupa mikopo au/na misaada
 
Unaweza kuwa una maoni mazuri Mkuu, lakini umewahi kufikiri hizo gharama za Uchimbaji Serikali itapata wapi iwapo ikiamua yenyewe kuchimba?

Serikali hii hii ambayo nusu ya Bajeti yake inategemea Wafadhiri.

Serikali hii hii ambayo bado nusu ya Wilaya zake hazina Huduma ya maji safi na salama.

Serikali hii hii ambayo zaidi ya nusu ya wilaya zake hazina barabara za Lami

Serikali hii hii ambayo bado inatafuta rasilimali fedha ili kuweza kufikisha Umeme kwenye Kila Kijiji kabla ya 2025.

Kwa kifupi Serikali yetu bado ina kazi kubwa zinazohitaji Rasilimali fedha kuweza kufikisha huduma za Maji, Barabara, Afya, Elimu n.k

Hivyo ni muhimu Wapatikane Wawekezaji wenye Mitaji waje wachimbe alafu Sisi kama Nchi tukusanye Kodi, Ajira kwa Watanzania wenzetu pamoja na kupata Mirahaba kupitia Win-Win Contracts.

Kwahiyo nadhani sisi kama Nchi tuhakikishe Mikataba tunayosaini dhidi ya Wawekezaji hawa inainufaisha Nchi badala ya kugeuka Mikataba ya Kinyonyaji dhidi yetu.
inawezekana LAKINI sio kwa serikali hii.
 
Maono mafupi ya viongozi wetu tunashindwa somesha wataalamu wetu kwenye nyanja husika wakabobea miaka nenda miaka rudi tunakimbilia kila uchwao wawekezaji na asilimia 16 tuna viongozi/wafanya maamuzi wasiona mbali zaidi ya kufikiria chaguzi zilizo mbele yao​
Haya yanaeezekana lakini sio kwa mkoloni mweusi tulie nae.
 
Nchi inatawaliwa na Wazanzibar unategemea nini? Hata mimi ningekuwa Mzanzibar natawala Tananganyika ningeuza tu kwa kubadilishana na matundu ya vyoo.........................Who cares?
Chuki zako zinakufanya usifikiri vizuri.

Mfano tu ni hayo madini Tanzanite kama nchi imefanya nini kuzuia yasiuzwe kwa kupitia Kenya? Utasema ni ukuta uliojengwa lakini je ulileta manufaa yo yote?

Na huyo waziri wa madini anayemshauri Raisi ni mzanzibar?
 
Yaani wakati mwingine huwa nakaa nawaza kwamba viongozi wetu wengi (ukiwaondoa Hayati JKN na JPM), walikuwa au wanakuwa na akili kama za mtu anayetaka kuhama; kuuza vyombo kwa bei ya hasara ili walau zimsaidie kwa upande wa nauli ya huko anakokwenda!!
Huwa nawaza kwamba wengi hawakuwa au hawana machungu kabisa na mali za nchi hii!
Huwa nawaza kwamba; hawawajali watoto na wajukuu wetu ambao wengine bado hawajazaliwa.
Huwa nawaza kwamba wengi walikuwa au wana tamaa ya kujimilikisha rasilimali za nchi hii kama kwamba ni mali yao peke yao.

Huwa nakaa nawaza, nakosa majibu.

Mbona Mwl. aliwahi kusema kwamba madini yetu tutayachimba tutakapokuwa tayari licha ya kupewa ofa ya 49% lakini bado alikataa! Cha ajabu waliomfuatia, wao wakasaini madini yachimbwe kwa nchi kupata asilimia 5!!
Are we serious?!

Huwa nakaa nawaza, nakosa majibu..
 
Kiufupi tuna viongozi vilema kuanzia raisi si ajabu wanaulemavu wa akili. Haraka za nini jambo letu tulifanyie utafiti kuloko kuibiwa. Viongozi wetu hawafit kwenye viti vyao
 
Chuki zako zinakufanya usifikiri vizuri.

Mfano tu ni hayo madini Tanzanite kama nchi imefanya nini kuzuia yasiuzwe kwa kupitia Kenya? Utasema ni ukuta uliojengwa lakini je ulileta manufaa yo yote?

Na huyo waziri wa madini anayemshauri Raisi ni mzanzibar?
Sina chuki. Zanzibar inawakilisha kundi la wafisadi nchi. Hawa wanajulikana. Hawajli kitu wapo radhi hata kuuza Ikulu. Mama hana control nao. Wao ndiyo kila kitu. Hawajali
 
Nchi inatawaliwa na Wazanzibar unategemea nini? Hata mimi ningekuwa Mzanzibar natawala Tananganyika ningeuza tu kwa kubadilishana na matundu ya vyoo.........................Who cares?
watangamyika walivyokuwa wanatawala walifanya nini. Hii nchi inaitwa Tanzania we poyoyo siyo Tanganyika. Mtu anacomment ushuzi mpaka aibu.
 
Kiufupi tuna viongozi vilema kuanzia raisi si ajabu wanaulemavu wa akili. Haraka za nini jambo letu tulifanyie utafiti kuloko kuibiwa. Viongozi wetu hawafit kwenye viti vyao
we usiye kilema tuambie hayo madini yanachimbwaje. We ndiyo kilema wa akili, hii nchi ina technolojia ya kuchimba hayo madini?
 
Hebu twendeni polepole kwanza, je mnaposema 51% kwa 49% ratio nyie pia mtaweka initial capital au mnasomba faida tuu? Pili hizo 16% mnachukua na pia raia wenu wanaajiriwa na pia mtapata kodi zote PAYE,CORPORATE TAX,WITHHOLDING TAX etc, bado NSSF na WCF zote hizi kuna uhakika kila mwezi ama quarter mbona mnakuwa hivyo.

Ni fair share kabisa acheni ujuaji kwani ile kampuni ya Twiga corp ina hisa ngapi si 16% so kusema walioshiriki kipindi kile cha awamu yenu pendwa ni wajinga.
Yaani watu wengine sijui huwa mnatumia "mechanisms" zipi kufikiria?!
 
kinachouma zaidi ni kwamba;
- sio tu tunawapa,, labda nyuma ya pazia tukijipanga kuchimba na ku process wenyewe yaliyopo sehemu nyingine, ili kupata the most out of it, Tunawapa kwa moyo mkunjufu na Pride juu yake kuwa hapa tumefanikiwa. Hatuna plans nyingine zozote zaidi ya hii

sisi kazi yetu ni kutembeza bakuli - yaani sisi tunawapa utajiri , wao wanatupa mikopo au/na misaada
we akili zako umeziazima wapi. Kwanza hata ile kuja tu kuna madini yanaitwa "rare minerals" ni hao wazungu ndio wametueleza, wazungu hawajaja na kiji cha ngwala kilikuwepo hapo ndani dunia iundwe mbona hamkuyachimba? Acha umbumbumbu hata miaka 100 ijyo msingeweza kuyachimba has akili zenyewe ni km hizi zako
 
Mleta mada nahisi hujui maana ya rare metals. Kuitwa rare metals haimaanishi yanapatikana Tz tu Hebu kusomea kidogo uelewe maana ya rare metals hapa chini

The rare earth elements (REE) are a set of seventeen metallic elements. These include the fifteen lanthanides on the periodic table plus scandium and yttrium
Ungeelewa kwanza hoja kubwa , ishu kubwa ni maamuzi ya viongozi juu ya rasilimali zetu , sio kukimbilia google unacopy na paste kila mtu anaweza hill
 
Yaani watu wengine sijui huwa mnatumia "mechanisms" zipi kufikiria?!
Hebu unapopinga uje na way forward ukifanya hivyo utakuwa kweli una haki ya kuhoji mechanism za watu wengine kufikiria.
 
we usiye kilema tuambie hayo madini yanachimbwaje. We ndiyo kilema wa akili, hii nchi ina technolojia ya kuchimba hayo madini?
Kama hatuna Teknolojia, Kuna uharaka gani wa kuyachimba?
Kama wazee wetu wangekuwa na haraka hiyo, sisi tungeyakuta?
Acheni ubinafsi.
Wafikirieni watoto wenu na wajukuu zenu pia.
Acheni kufikiri kwa kutumia matumbo yenu.
Kuweni na huruma kwa vizazi vijavyo tafadhali.

Hebu unapopinga uje na way forward ukifanya hivyo utakuwa kweli una haki ya kuhoji mechanism za watu wengine kufikiria.
Wakati mwingine hata kushangaa tu inatosha Mkuu.
 
Kama hatuna Teknolojia, Kuna uharaka gani wa kuyachimba?
Kama wazee wetu wangekuwa na haraka hiyo, sisi tungeyakuta?
Acheni ubinafsi.
Wafikirieni watoto wenu na wajukuu zenu pia.
Acheni kufikiri kwa kutumia matumbo yenu.
Kuweni na huruma kwa vizazi vijavyo tafadhali.

Wakati mwingine hata kushangaa tu inatosha Mkuu.
Nikajua unakuja na point ya maana China kwenyewe kuna Wamarekani wamewekeza.
 
we usiye kilema tuambie hayo madini yanachimbwaje. We ndiyo kilema wa akili, hii nchi ina technolojia ya kuchimba hayo madini?
Kama hatuna Teknolojia, Kuna uharaka gani wa kuyachimba?
Kama wazee wetu wangekuwa na haraka hiyo, sisi tungeyakuta?
Acheni ubinafsi.
Wafikirieni watoto wenu na wajukuu zenu pia.
Acheni kufikiri kwa kutumia matumbo yenu.
 
Nchi inatawaliwa na Wazanzibar unategemea nini? Hata mimi ningekuwa Mzanzibar natawala Tananganyika ningeuza tu kwa kubadilishana na matundu ya vyoo.........................Who cares?
Mkapa mtanganyika aliweka 3% kwenye madini
 
Back
Top Bottom