Madini adimu duniani tunawapa wageni na kuishia kupata 16%

So acha wafanye tupate tunachostahili ,usubilie Ili iwaje?
Screenshot_20230427-060536.jpg

Kwanza aliyewadanganya kwamba Madini mnayo peke yenu ni nani?
 
Acha comedy mzee,,, hakuna Rais mwenye uwezo huo Tanzania hii, huyo tunayemwita mkali kuna mifupa ilimshinda kaondoka wala hakuigusa..

Kwani Madam si ndo kawaomba watupishe?.. Hiyo statement yake tu tayari ishatoa majibu...
Shida ni mfumo unaolindwa na Vyombo vya Dola, hata uje wewe utashindwa Chief
 
Mleta mada nahisi hujui maana ya rare metals. Kuitwa rare metals haimaanishi yanapatikana Tz tu Hebu kusomea kidogo uelewe maana ya rare metals hapa chini

The rare earth elements (REE) are a set of seventeen metallic elements. These include the fifteen lanthanides on the periodic table plus scandium and yttrium
Adimu na adhimu nadra upatikanaji na yanahitajika sana kwenye vifaa vya tekinolojia ya sasa,hiyo REE isikusumbue sana.
 
Umeelewa nilichoandika au umeona kwenye ajira tu mbona hujaongelea biashara mm ninapocomment naenda kwenye wigo mpana ndio maana nikasema ajira kazi na biashara wabongo mnajidai mnajua kila kitu umekuja kwa kukurupuka na infact mm sio muajiriwa japo nimetaja hapo kama sababu za watu kulala akili. Huenda nawe ni mmoja wao maana umecomment utumbo alafu kuna ajira zingine hicho kikokotoo hakifanyi kazi watu wanakula mpunga kama ulivyo baki hapo kidhani kila alieajiriwa atakutwa na kikokotoo
92 ni namba ya watu mashababi kwenye nchi hii hebu badilisha hiyo ID name haufananii nayo Mkuu.
 
92 ni namba ya watu mashababi kwenye nchi hii hebu badilisha hiyo ID name haufananii nayo Mkuu.
Naona unawajua mashababi vizuri hongera zako. Mpaka unawataja wameshakushababisha vizuri kabisa ila usitake mtazamo wako uwe wangu .
 
Haya ndio masuala ya Kuandamana. Na sio kuandamana kutetea masaliti na magaidi ya nchi.
 
Naona unawajua mashababi vizuri hongera zako. Mpaka unawataja wameshakushababisha vizuri kabisa ila usitake mtazamo wako uwe wangu .
Kama hauna knowledge ya mambo makubwa usipende kuyajadili, huku naona ndo kwenye uwanja unaouweza.
 
Vipi kuhusu upotevu wa pesa unaozungumziwa kwenye ripoti ya CAG?
Vipi kuhusu mavietee yanayonunuliwa?
Wakibana huo uvujaji mambo yataendelea vizuri tu.
Kwani hata hizo pesa wanazoiba na kununulia hizo V8, unadhani zinatoka wapi? Zaidi ni kutoka kwenye utalii na madini, siyo kwenye tozo.

Tukifunga sekta ya madini na utalii, wanaoiba watakosa cha kuiba, na waliokuwa wanapata kidogo kupitia mishahara, nao watakosa kabisa.
 
Serikali haiajiri mizigo,hata Ile iliyoajiriwa ni majizi tuu and under performing..

Nkupa mfano hao Wasomi wako wakijua kabisa kwamba Ziwa Huwa linajaa na sio salama kujenga jirani na Ziwa walijenga soko la mil.800 plus harafu likazama na maji na pia halikuwa na umeme huko Rukwa..

Watu wa dizaini hii ni washenzi tuu.
Mwaro wa kirando upo kwenye maji mpaka sasa nilishangaa maamuzi ya kijinga ya kiasi kile hata gharama za ujenzi hazihakisi mradi wenyewe.
 
Hiyo corporate tax ya 30% mara nyingi kampuni huwa zinalipa makao yake makuu yaliposajiliwa na mengi ya makampuni makubwa duniani yameweka makao yake makuu katika nchi ambazo ni "tax havens" huko wanalipa kodi kidogo sana kuliko sehemu nyingine duniani
Pia hiyo 16% ya free carry shares inatoka kwenye faida, hapo ndipo utasikia kamapuni inaendeshwa miaka hata 10 inapata hasara tu au faida kama ya wauza juice na maembe.

Makampuni makubwa ya kidunia ni mafundi wa kukwepa kodi, yanawapiga sana tu hadi mataifa makini yaliyoendelea yalipotoka, ndio baadaye unakuja kusikia kesi za mabilioni za kodi. Biden kila siku analalimika huko Marekani jinsi big corporations zinalipa share ndogo ya kodi kuliko wafanyakazi na biashara ndogo. Sisi tulitakiwa tuchukue pesa yetu kutoka katika mapato(sio faida), 30% ya mapato na kodi nyingine zote walipe.
Umeongea ukweli kabisa ,kama greater thinker ,na pia kunakuwa na udangsnyofu mkubwa sana kwemye real investment cost , kampuni inawekaza let say 2b us kwenye vitabu wanaandika ni uwekezaj wa 5b us dollar
 
Kuupiga mwingi ni hadi hiyo kampuni ikuonyeshe inapata faida, unaweza kusubiria hilo miaka.
Na capital investment kwenyec hayo makaupuni amna anayeweza kutrace a real investment cost mtu amewekeza 1m usd atakaumbia ni 9.5m usd dollar
 
Kila uchwao tunaingizwa ktk mikataba mibovu na hawa wendawazimu!
Sujui kwanini kama nchi hatutaki kuamka na kuiondoa ccm madarakani kwa hii ushetani wao!
 
Maoni yangu si wakati wote tulaumu tu

Tutoe mapendekezo,ushauri na elimu sahihi ya juu ya nini kilipaswa kufanyika.

Tufanye tafiti za mapana na kusaidia kwa maandiko sahihi ama yamkini proposal kwa wenye mamlaka..

Sisi wananchi wa kawaida tunayo nafasi adhimu ya kujenga mwelekeo sahihi wa usimamizi wa rasilimali zetu..Tunayo nguvu kubwa..

Nchi yetu ni kubwa mnoo na ina utitiri wa utajiri wa rasilimali..zipo rasilimali madini ambazo bado hazijagunduliwa..

Viongozi ni binadamu tu..Tuwasaidie kuteleleza majukumu yao kwa kushauri na kuoendekeza kupitia upembuzi binafsi n.k
 
Back
Top Bottom