Michael Uledi
Senior Member
- Mar 29, 2023
- 132
- 322
Kutarajia maajabu kwa utawala wa ccm ni kujichosha bure!Unaambiwa yale Madini ya pale Ngwala-Songwe ni moja ya madini adhimu sana duniani na matumizi yake ndio
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Viongozi wa afrika wengi ni vichaa wanaoshinda maofisini
hahahahaha bado vichwa maji tu.
wakati tulipaswa kufanya survey wenyewe kujua deposit ikoje for 100yrs then tutafute watalaam kadhaa wadesign michoro rahisi, tuanze kuchimba in small scale na small plant yakurefine na tujenge kiwanda cha kutengeneza final product hapo hapo mbeya hata kwa matumizi ya ndani na nchi jirani kama Mbeya.
Huku tukichimba in small scale huku tunajipa say 20yrs yakutafuta large capital na kuingia sasa kwenye large scale production with big refine plant na viwanda kadha wa kadha vijengwe hapo depending hiyo raw materials kutoka hapo.. means in 100yrs next generation will enjoy the life na kushukuru babu zao..

Ahh! Tufanyeje sasa!??Unaambiwa yale madini ya pale Ngwala-Songwe ni moja ya madini adhimu sana duniani na matumizi yake ndio yanaenda kutawala kwenye miaka 50 ijayo duniani (Rare Earth Minerals au Strategic & Critical Minerals).
Ukitaka kupima vision ya Taifa letu unaweza ukaona jinsi gani hata madini ya namna hiyo tunawapa wawekezaji kwa mchanganuo wa 16% kama dhahabu ambayo tunayo almost kila kona ya Nchi!
Madini haya yangegundulika nchi serious kama China then Mmarekani au Mjapani aende na uwekezaji wake hata wa dola zote duniani hawezi kupewa! Common!
Hii ngoma tunataka tuupeleke wapi (hii NCHI tunataka iweje by mwaka let say 2050)? Do we have that vision?
Hivi tunataka tutengeneze Taifa la namna gani na lini?Je, tunajihoji maswali haya tukiwa kitandani, ofisini au nyumbani?
Mbombo ngafu!
View attachment 2599243
"Wiki hii serikali ya Tanzania ilisaini mkataba na makampuni matatu ya Australia kwa thamani ya dola milioni 667. Kwahiyo makampuni ya Australia yana haki za uchimbaji wa madini kwenye migodi matatu nchini Tanzania kwa lengo la kuchimba madini adimu ya ardhi na grafiti.
"Madini haya ni muhimu sana katika maendeleo ya teknolojia, mfano teknolojia za umeme, betri, magari, simu za mkononi, kompyuta mpakato (laptops) na grafiti inajulikana kutumika katika upakaji hasi wa betri ya lithiamu ion.
"Hii inaonyesha jinsi kampuni za kigeni zinavyowekeza Afrika na kutajirika maradufu kutoka kwenye rasilimali na madini ya Afrika. Dola milioni 667 kwa ajili ya migodi mitatu ni upuuzi. Wakati mgodi mmojawapo utatengeneza mabilioni na mabilioni ya dola."
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Mkoloni CCM kajimilikisha nchi usitegemee kutakuwa na right thinking kwenye rasilimali za taifa.Unaambiwa yale madini ya pale Ngwala-Songwe ni moja ya madini adhimu sana duniani na matumizi yake ndio yanaenda kutawala kwenye miaka 50 ijayo duniani (Rare Earth Minerals au Strategic & Critical Minerals).
Ukitaka kupima vision ya Taifa letu unaweza ukaona jinsi gani hata madini ya namna hiyo tunawapa wawekezaji kwa mchanganuo wa 16% kama dhahabu ambayo tunayo almost kila kona ya Nchi!
Madini haya yangegundulika nchi serious kama China then Mmarekani au Mjapani aende na uwekezaji wake hata wa dola zote duniani hawezi kupewa! Common!
Hii ngoma tunataka tuupeleke wapi (hii NCHI tunataka iweje by mwaka let say 2050)? Do we have that vision?
Hivi tunataka tutengeneze Taifa la namna gani na lini?Je, tunajihoji maswali haya tukiwa kitandani, ofisini au nyumbani?
Mbombo ngafu!
View attachment 2599243
"Wiki hii serikali ya Tanzania ilisaini mkataba na makampuni matatu ya Australia kwa thamani ya dola milioni 667. Kwahiyo makampuni ya Australia yana haki za uchimbaji wa madini kwenye migodi matatu nchini Tanzania kwa lengo la kuchimba madini adimu ya ardhi na grafiti.
"Madini haya ni muhimu sana katika maendeleo ya teknolojia, mfano teknolojia za umeme, betri, magari, simu za mkononi, kompyuta mpakato (laptops) na grafiti inajulikana kutumika katika upakaji hasi wa betri ya lithiamu ion.
"Hii inaonyesha jinsi kampuni za kigeni zinavyowekeza Afrika na kutajirika maradufu kutoka kwenye rasilimali na madini ya Afrika. Dola milioni 667 kwa ajili ya migodi mitatu ni upuuzi. Wakati mgodi mmojawapo utatengeneza mabilioni na mabilioni ya dola."
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Viongozi wa CCM bado wanafanya usiri mkubwa katika mikataba inayoingiwa ndani ya karne hii ya 21! Angalau hata wangaipeleka bungeni ili ikajadilwe kwanza hata na wabunge wengi waliokuwa vilaza, angalau wale wachache walio makini wangaliweza kufumbua wengine macho.Unaambiwa yale madini ya pale Ngwala-Songwe ni moja ya madini adhimu sana duniani na matumizi yake ndio yanaenda kutawala kwenye miaka 50 ijayo duniani (Rare Earth Minerals au Strategic & Critical Minerals).
Ukitaka kupima vision ya Taifa letu unaweza ukaona jinsi gani hata madini ya namna hiyo tunawapa wawekezaji kwa mchanganuo wa 16% kama dhahabu ambayo tunayo almost kila kona ya Nchi!
Madini haya yangegundulika nchi serious kama China then Mmarekani au Mjapani aende na uwekezaji wake hata wa dola zote duniani hawezi kupewa! Common!
Hii ngoma tunataka tuupeleke wapi (hii NCHI tunataka iweje by mwaka let say 2050)? Do we have that vision?
Hivi tunataka tutengeneze Taifa la namna gani na lini?Je, tunajihoji maswali haya tukiwa kitandani, ofisini au nyumbani?
Mbombo ngafu!
View attachment 2599261