Madhara ya unywaji wa Pombe

Ni baada ya muda gani hayo madhara yanayokea ?
Maana kijijini kwetu kule kuna wazee wa miaka 90 wanakunywa pombe tokea ujana wao.

Kwa lugha rahisi ana miaka zaidi ya 50 tokea aanze kunywa pombe na yupo fiti kiafya.
 
Ni baada ya muda gani hayo madhara yanayokea ?
Maana kijijini kwetu kule kuna wazee wa miaka 90 wanakunywa pombe tokea ujana wao.

Kwa lugha rahisi ana miaka zaidi ya 50 tokea aanze kunywa pombe na yupo fiti kiafya.
Msesewe una ondoa cholesterol bwashee😅
 
pombe ni nzuri ikiwa kwa kiasi maisha yamebadilika sana watu wanapitia changamoto nyingi sana nadhani hata aliegundua pombe alijua pombe ipi nzuri na ipi mbaya cha msingi ni kuwa makini tu sisi tumelelewa na Mzee wetu alikuwa mkali sana lakini akilewa mtakula chochote mnachotaka na mtacheza mziki shopping juu na outing nashindwa kuelewa ubaya WA pombe na uzuri wake wengine wakinywa wanakuwa wazuri wengine wakinywa wanakuwa wabaya na kila kitu kinaharibika baadae ya Mzee wangu wangu kuacha pombe sasa hivi anaichukia sana na aliweza kujenga na kubadili mfumo wake WA kiimani, uchumi na kiafya @43 Leo yuko fit sana na huwezi amini alikuwa Mlevi mbwa. pombe ni kipimo cha utu ikiwa kwa kiasi Haina shida ni dawa.
 
H
Hata kuchakata mbususu kuna madhara,Kuvuta sigara,Kutumia vipodozi,Kula chips mara kwa mara,Kunywa soda kwa wingi,Kula nyama nyekundu kunaua figi,chumvi nyingi nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…