Madhara ya pombe za bure kutoka CCM Igunga...

hiiiiiiii iyo kali hapo wananchi wa Igunga ndo waamue wanaelekea wapi
 
hahahahahaa!!!
gongo hiyo!!
hawa ndio vijana wa ccm! hopeless kabisa
 
mwe mwe mweeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
mh...atakuwa hata ameshindwa kuamka kupiga kura,ila magamba yameshahesabu kura yake wakati wakumpa hicho kinywaji gongo/coca cola
 
Kafakamia gongo za bure toka chama cha magamba!!
 
wanawaharibu vijana ili wabaki wazee maana wameona vijana waliwakataa.
 
ccm ina vjana waliokwisha kata tamaa.less energetic. wanakubali kuhongwa gongo tu!
 
jezi wanzificha wanapofika mbele za watu wenye akili lakini huyu funda la mwisho limemuumbua.mia
 
Masikini Tanzania, hawa ndio taifa la kesho!!!!!!!!

Akitoka hapo hana hata senti ya kununua kikombe cha chai.

Maisha bora kwa kila mtanzania,

Tumethubutu, kunywa pombe,

Tumeweza, kumaliza mizinga ya konyagi,

Tunasonga, mbele kutafuta mizinga mingine.

uhuru oyeeeeeeeeeeee
 
Kauza kura yake kwa Gongo chupa moja. Ndo madhara yake hayo
 
Tena bila hata haya na tisheti mpya kabis imeandikwa IGUNGA am kweli
 
mkuu, una maana hawa ndio sample ya wale 50.4% wa Igunga? Kama ni hivyo na percentage yao ni majority basi nchi imekwisha!
ccm ina vjana waliokwisha kata tamaa.less energetic. wanakubali kuhongwa gongo tu!
 
Mbaha...whats'up with the 'avatar'?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…