Madhara ya modern life

Madhara ya modern life

Wakati nakua nilikua naambiwa nisome ili nipate hela nile chakula ninachotaka...
Sasa naanza kupata vi hela kidogo vya kuweza kupanga misosi yangu niliyoimiss tangu utotoni mnaanza kuniambia nile ugali tena...
Kwa hili hapana kwa kweli..
Bora maisha mafupi ya bata kuliko kuishi miaka 90 kwa kula mihogo mikavu..

Say no to diet

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa nguvu saana !!!! Daaaaah ulikuwa ukisusa kula usiku kisa mama kapika ugali.... hayo ndo mapovu yake “tafuta pesa yako ule unachotaka” [emoji23][emoji23][emoji23]

Say no to diet [emoji736][emoji736]
 
Chai Ya Sukari Tuwaachie Watoto Na Vijana Hapana,mwanangu Hajui Sukari Napambana Kweli Soda,biscuit Asikule Nimeweza
Uji Wake Wa Dona Au Lishe Nkiweka Karanga Na Maziwa Inatosha,smoothie Ya Parachichi Ndizi Wakati Mwingine Tende Namuwekea Mixer ,maziwa Bila Sukari Inatosha,sukari Ya Vyakula Na Matunda Inamtosha,na Yuko Fit Hasa
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
basi ujue mimi nimezimia huo mkia ndio maradhi yangu,huyo 911 achana nae nitunuku mimi huo mbunyo
Weeeeeeeeeeee naanza tu!!! ! I do love my Smart911 hakuna mfano kama ni kunimaliza hakii ananimarrllliza huyu mwanaume! You know unakua na mtu hata usipokula wewe unanenepa tu!??? Ndio huyu mwanaume sasa! Nampenda mno mno smart wangu
 
Wakati nakua nilikua naambiwa nisome ili nipate hela nile chakula ninachotaka...
Sasa naanza kupata vi hela kidogo vya kuweza kupanga misosi yangu niliyoimiss tangu utotoni mnaanza kuniambia nile ugali tena...
Kwa hili hapana kwa kweli..
Bora maisha mafupi ya bata kuliko kuishi miaka 90 kwa kula mihogo mikavu..

Say no to diet
Nakula km nakimbizwa vile nachokihitaji ninenepe tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom