Hiyo ni trreat nikishinda saloon kusikia rasta za Kimasai
🙂🙂 umenikumbusha bosi wangu mmoja zamani..tunaoingea mchele kupanda bei hadi elfu hamsini na tano debe akasema ''eeeh bana,heshima ya wali irudi sasa..yaani mtu ananywea chai ubwabwa??!!"...aisee yaani tulicheka mnoUbwabwa ulikuwa na heshima, ukipakuliwa watoto mnazunguka sinia mnawekewa ukoko kwenye chujio la nazi
Ubwabwa ulikuwa na heshima, ukipakuliwa watoto mnazunguka sinia mnawekewa ukoko kwenye chujio la nazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🙂🙂 umenikumbusha bosi wangu mmoja zamani..tunaoingea mchele kupanda bei hadi elfu hamsini na tano debe akasema ''eeeh bana,heshima ya wali irudi sasa..yaani mtu ananywea chai ubwabwa??!!"...aisee yaani tulicheka mno
Hapo ukienda chooni kwa haja kubwa lazima kijasho cha kutosha kikutoke....achilia mbali maumivu😀😀Si ndio mnayofanya hayo nyie wanawake Siku hizi!
Eti mnakula "salad" Sijui mpunguze vitambi!
Ndio maana operations Siku hizi haziishi!
Ratiba ya zamani ilikuwa hivi;
Asubuhi: chai Na mkate wa ngano ya asili ile nyeusi
Mchana; Ugali Mkubwa+Maharage ya mbeya & mchicha
Usiku;Ugali + mboga au maharage tena
Ubwabwa Siku za sikuku [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bado mtamu ujue. Wali na maharage ya nazi haufai kwa diet kabisaaa. Yan nikisikia tu harufu yake nasikia njaa upya [emoji23][emoji23][emoji23]Daaah umenikumbusha mbali saaana
Hahahhaha enzi hizo wali maharage .... ulikuwa mtamuuuuu
Maisha ya mjini ni modern life kula mayai na sausage asubuhi pamoja na chai yenye maziwa na sukari bila kusahau mkate au chapati.
Mchana utakuwa pilau, chips kuku, kiepe na mengineyo na jioni kwakuwa ulikuwa sana ugali boarding school umeamua kuupa mgongo sikuhizi jioni unakula pizza.
Unajua calories ulizoweka mwilini tangu umeamua asubuhi?
Mayai mawili ya kuchemsha na ndizi moja mbivu pamoja na kikombe cha chai bila sukari ni chaguo bora kwa kufungua kinywa.
Madhara hasa ya kuwa na excess fat kiunoni ni kusumbuliwa na type 2 diabetes. High cholesterol inasababisha mafuta kuzunguka moyo kushindwa kufanya kazi vizuri, kupelekea heart failure.
Uncontrolled Diabetes type 2 na heart failure vinaambatana, moyo unaposhindwa kupump damu madhara yake ni miguu kuvunja na kukaa maji.
Moyo kufanya kazi ya ziada ya kupump damu linaweza kusababisha kupasuka kwa mishipa ya damu inakoleta haemorrhage stroke.
Mabonge ya damu yenye mafuta kuziba mishipa ya damu na kusababisha ischemic stroke
Sukari unayopata kwa kula ugali na staple foods nyingine inakutosha kwa mahitaji yako ya mwili. Chai ya sukari tuwaachie watoto na vijana.
Pizza tamu bwana siwezi kukulaumu. Enzi za uwanafunzi tulikuwa tunapiga pizza kabla ya kinywaji. Mpaka mkienda club bado una shibe
Harufuuu yake jamani. Wali maharage ungefanywa chakula cha kitaifaKule home maharage ya nazi yanawekwa iliki acha tu