hahaaa..lakini bado wataalamu nao wanasema kuwa ulaji mwingi wa vyakula vya wanga...vinamfanya mlaji adumae kiakili....waweza kujionea mwenyew CCM inaongoza wananchi wanamna gani"""??....wananchi ambao hata wakitiwa vidole vya macho watasema hewala"" hayo nimataokeo ya ulaji wa vyakula vya wanga kwa wingi""Si ndio mnayofanya hayo nyie wanawake Siku hizi!
Eti mnakula "salad" Sijui mpunguze vitambi!
Ndio maana operations Siku hizi haziishi!
Ratiba ya zamani ilikuwa hivi;
Asubuhi: chai Na mkate wa ngano ya asili ile nyeusi
Mchana; Ugali Mkubwa+Maharage ya mbeya & mchicha
Usiku;Ugali + mboga au maharage tena
Ubwabwa Siku za sikuku [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuja kwenye wali maharage usijidanganye kuwa mwanao umemkataza kula kwa watu. Anaweza kuja taa kula pilau lakini si wali maharage
Katika moja ya miradi ya ONTARIO ni kuhakikisha wananchi wa kawaida wanaweza kupata kuku wa nyama kwa bei nafuuhahaaa..lakini bado wataalamu nao wanasema kuwa ulaji mwingi wa vyakula vya wanga...vinamfanya mlaji adumae kiakili....waweza kujionea mwenyew CCM inaongoza wananchi wanamna gani"""??....wananchi ambao hata wakitiwa vidole vya macho watasema hewala"" hayo nimataokeo ya ulaji wa vyakula vya wanga kwa wingi""
Harufuuu yake jamani. Wali maharage ungefanywa chakula cha kitaifa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwakweli, hiki kiwe chakula rasmi cha TAIFA.
Hata kwa wanaofanya mazoezi diet ni jambo la kuzingatia zaidi kuliko hata hayo mazoezi.Diet kwangu inafanya kazi kuliko mazoezi, muda wa mazoezi na hali ya hewa. Mvua ikinyesha kukimbia inakuwa shida
Naungana na wewe. Haya mapishi mazuri ale nani sasa kama tukikazana na diet. Yani niache kula chuzi langu shatashata kisa diet.Wakati nakua nikikua naambiwa nisome ili nipate hela nile chakula ninachotaka...
Sasa naanza kupata vi hela kidogo vya kuweza kupanga misosi yangu niliyoimiss tangu utotoni mnaanza kuniambia nile ugali tena...
Kwa hili hapana kwa kweli..
Bora maisha mafupi ya bata kuliko kuishi miaka 90 kwa kula mihogo mikavu..
Say no to diet
Hahaaa kweli kabisa .. utaskia wale wanaojiita vegetarian hawataki tule nyama kabisa eti tutapata gout...hivi hizi kuku na mbuzi zoote zinazofugwa atakula nani??Naungana na wewe. Haya mapishi mazuri ale nani sasa kama tukikazana na diet. Yani niache kula chuzi langu shatashata kisa diet.
Say No to Diet
Ikiwezekana ku control weight so vibayaHahaaa kweli kabisa .. utaskia wale wanaojiita vegetarian hawataki tule nyama kabisa eti tutapata gout...hivi hizi kuku na mbuzi zoote zinazofugwa atakula nani??
Waafrika tutaangamia kwa kuiga diet za wazungu..
Unakuta kijana kakondeana eti na yeye yupo kwenye diet
Tatizo kuna misconception kwamba ukila ugalii mkubwa ndio unakuwa na nguvu au ukila mihogo na viazi ndio nguvu zinaongezeka wakati ukweli ni kwamba kula kila kitu kwa kiasi kulingana na calories unazohitaji kwa siku kulingana na kazi zako.....Ikiwezekana ku control weight so vibaya
Hii maneno ndio imefany niwe muhanga wa modern lifeNaungana na wewe. Haya mapishi mazuri ale nani sasa kama tukikazana na diet. Yani niache kula chuzi langu shatashata kisa diet.
Say No to Diet
Bado mtamu ujue. Wali na maharage ya nazi haufai kwa diet kabisaaa. Yan nikisikia tu harufu yake nasikia njaa upya [emoji23][emoji23][emoji23]
Nzuri![emoji109]Maisha ya mjini ni modern life kula mayai na sausage asubuhi pamoja na chai yenye maziwa na sukari bila kusahau mkate au chapati.
Mchana utakula pilau, chips kuku, kiepe na mengineyo na jioni kwakuwa ulikuwa sana ugali boarding school umeamua kuupa mgongo sikuhizi jioni unakula pizza.
Unajua calories ulizoweka mwilini tangu umeamua asubuhi?
Mayai mawili ya kuchemsha na ndizi moja mbivu pamoja na kikombe cha chai bila sukari ni chaguo bora kwa kufungua kinywa.
Madhara hasa ya kuwa na excess fat kiunoni ni kusumbuliwa na type 2 diabetes. High cholesterol inasababisha mafuta kuzunguka moyo kushindwa kufanya kazi vizuri, kupelekea heart failure.
Uncontrolled Diabetes type 2 na heart failure vinaambatana, moyo unaposhindwa kupump damu madhara yake ni miguu kuvunja na kukaa maji.
Moyo kufanya kazi ya ziada ya kupump damu linaweza kusababisha kupasuka kwa mishipa ya damu inakoleta haemorrhage stroke.
Mabonge ya damu yenye mafuta kuziba mishipa ya damu na kusababisha ischemic stroke
Sukari unayopata kwa kula ugali na staple foods nyingine inakutosha kwa mahitaji yako ya mwili. Chai ya sukari tuwaachie watoto na vijana.