Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 679
ngoja nikazane kwa wiki mkono mmoja mmoja.
Hahahahaa ipangie timetable.....ngoja nikazane kwa wiki mkono mmoja mmoja.
Hahaaa inabidi tukafanye research mashuleni maana wao ndo watakuwa miongoni mwa walioathirika sana na hili jangaJf haiishi vituko.
Naomba mtoa hoja anijibie swali hili:
hii hali hutokea baada ya muda gani? Nauliza hivi kwa maana hapa Tz kuna shule nyingi za wavulana pekee pia zipo za wasichana pekee na huchukua takriban miaka minne kuhitim elimu ya upili na mingine miwili tena endapo mwanafunzi huyu atafanikiwa kuendelea na masomo hivyo kufanya idadi ya miaka kuwa 6.
Nasubiri jibu ili niondokane na huu utata.
Hahaaa inabidi tukafanye research mashuleni maana wao ndo watakuwa miongoni mwa walioathirika sana na hili janga
Duh nilianza na ya mbele then nikaimalizia ya nyuma...dogo nawewe siungezipanga tu hizo herufi!
Hahaaa inabidi tukafanye research mashuleni maana wao ndo watakuwa miongoni mwa walioathirika sana na hili janga
Teh ila nawewe kwa enzi zile lazma ungekuwemo kwenye orodha ya wanafunzi washirika wa hii kitu.....Mkuu ndiyo maana nimeuliza swali hapo juu, likijibiwa tu naandaa proposal tayari kuelekea huko mashuleni ili kuthibitisha dhana.
Hahahaaa mi napenda kwenda mbele tu ila nashangaa leo nimejikuta nimechanganya sana..kwani siku zote unaanziaga ya wapi??
Hahahaaaaamzee ulikua unatupiaga sana eeh?his ni zile mambo za DARWINS...hamna kitu usiogope!
Hahahaaa mi napenda kwenda mbele tu ila nashangaa leo nimejikuta nimechanganya sana..
Hahahaaaaa
Dah hii kitu inanikumbusha sana madogo wangu niliokuwa mbele yao....walikuwa hawana siri....anapoenda anasema anaenda kujipa kitu faster na anapotea kweli....
Hahahaaaa walikuwa noma sana
Teh na usiwemo kweli maana nawewe ukipotea hutapata msaada.....wanasema kupotea njia...kwi kwi...simo!
We kweli unasinzia....indirectly...ila watu wazima tumekuelewa!..
Teh na usiwemo kweli maana nawewe ukipotea hutapata msaada.....
Teh poa dogo naona kausingizi kamenizidia haa....mm nikipotea huwa sirudi...nachanja mbuga tu...alaaaaa!
Teh poa dogo naona kausingizi kamenizidia haa....
Usiku mwema aisee