Madhara ya Masturbation kwa wanaume........acheni!!!

Jf haiishi vituko.
Naomba mtoa hoja anijibie swali hili:

hii hali hutokea baada ya muda gani? Nauliza hivi kwa maana hapa Tz kuna shule nyingi za wavulana pekee pia zipo za wasichana pekee na huchukua takriban miaka minne kuhitim elimu ya upili na mingine miwili tena endapo mwanafunzi huyu atafanikiwa kuendelea na masomo hivyo kufanya idadi ya miaka kuwa 6.

Nasubiri jibu ili niondokane na huu utata.
 
Ila mkono mtamu jamani yani unajipimia saiz uitakayo mwenyewe,bikra au bwawa wewe tu
 
Jf haiishi vituko.
Naomba mtoa hoja anijibie swali hili:

hii hali hutokea baada ya muda gani? Nauliza hivi kwa maana hapa Tz kuna shule nyingi za wavulana pekee pia zipo za wasichana pekee na huchukua takriban miaka minne kuhitim elimu ya upili na mingine miwili tena endapo mwanafunzi huyu atafanikiwa kuendelea na masomo hivyo kufanya idadi ya miaka kuwa 6.

Nasubiri jibu ili niondokane na huu utata.
Hahaaa inabidi tukafanye research mashuleni maana wao ndo watakuwa miongoni mwa walioathirika sana na hili janga
 
Mkuu ndiyo maana nimeuliza swali hapo juu, likijibiwa tu naandaa proposal tayari kuelekea huko mashuleni ili kuthibitisha dhana.
 
mzee ulikua unatupiaga sana eeh?his ni zile mambo za DARWINS...hamna kitu usiogope!
 
Teh ila nawewe kwa enzi zile lazma ungekuwemo kwenye orodha ya wanafunzi washirika wa hii kitu.....
 
mzee ulikua unatupiaga sana eeh?his ni zile mambo za DARWINS...hamna kitu usiogope!
Hahahaaaaa
Dah hii kitu inanikumbusha sana madogo wangu niliokuwa mbele yao....walikuwa hawana siri....anapoenda anasema anaenda kujipa kitu faster na anapotea kweli....
Hahahaaaa walikuwa noma sana
 
indirectly...ila watu wazima tumekuelewa!..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom