CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
mm ni miongoni mwa waathirika wakuu aisee,ngoja nielekee love connect unawezapata sperm cancer!
Habari za Love connect, hawajambo huko??
mm ni miongoni mwa waathirika wakuu aisee,ngoja nielekee love connect unawezapata sperm cancer!
Nenda Hospitali kapime afya yako utakuw auna upungufu wa vitu muhimu kwenye mwili wako lazima utakuwa ni mgonjwa wewe. ukibisha nenda kajaribu kupima Chokochokolooooool miaka mitatu and very happy, tena story za mapenzi, na mambo ya kipuuz ndio sitaki hata kusikia, Jamani msiokuwa na waume na wake angalieni haya mambo yasije yakawaponza
JF Hawachelewi kukwambia uweke picha, ooh shauri yako. Mi nakwambia tu Husninyo!.mie nna miaka.3 sijafanya ila nipo fit no madhara...
Aiseeeh! Naona zimekuzidi shemu.....Sasa ugawe kwa yeyote tu ili usipate madhara??? Khaaaa... Wacha iote kutu
Kugumu CL !Tafadhali tukutane PM ,in case you have a vacant place in your precious heart!Habari za Love connect, hawajambo huko??
Woow....unataka kunichumbia kaka mzuri? Nipo zaidi ya tayari
Ha!!!!!!!! nitakusemea kwa
Kuna ukweli asilimia kubwa ya vitu.....
Hayo madhara yapo zaidi kwa aliyewahi kuenjoy tendo kabla.
Dawa yake itabidi umtafute mpenzi anaye kupenda na wewe unaye mpenda ndio dawa yake hayo maradhi bibie ram i miss you......Ninaanza kama huna mpenzi nafasi ndio hiyo basi.......kazi kwako...Kusahau sahau na hasira, hapa naweza kukubaliana na wewe MziziMkavu
Hakuna dawa ya hivi vitu zaidi ya kuduuu?
Aiseeeh! Naona zimekuzidi shemu.....
Dawa yake itabidi umtafute mpenzi anaye kupenda na wewe unaye mpenda ndio dawa yake hayo maradhi bibie ram i miss you......Ninaanza kama huna mpenzi nafasi ndio hiyo basi.......kazi kwako...