Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,980
- 127,428
Njoo pm nikwambie kitu kizuri.
Tatizo unanchomesha mahindi
Njoo pm nikwambie kitu kizuri.
Hii ina ukweli wake
kwa wadada kucheka cheka ovyo
Tatizo unanchomesha mahindi
Naunga mkono hoja mkuu, madhara labda ni kwa mtu na mtumie nna miaka.3 sijafanya ila nipo fit no madhara...
Nakubaliana na KHANTWE....huu utafiti umeongezwa chumvi nyingi......unapokuwa hautaki kushiriki hizo ngono, hakikisha unashiriki sana michezo kama vile mpira,kukimbia au aina yoyote ya michezo/mazoezi. Utakuwa sawa,kuwa busy na mambo ya maana na muhimu pia.MBONA MAPADRI NA WATAWA WANAISHI SAWA BILA HIZO HASIRA NA HAYO MENGINE.....Acheni kuendekeza ngono....Hiyo ifanyike NDOANI TU Ksb ndiyo mhimili wa ndoa kimwili na kiakili na ni baraka kwa MUNGU...na ndiyo maana limeitwa TENDO LA NDOA kwa WANANDOA TU....
![]()
Aise, kwa kawaida kama wewe si mgonjwa wa aina yoyote ile, kwa maana ya ugonjwa ku-offset system ya mwili.
Madhara ya kutofanya tendo la ndoa kwa muda mrefu ni makubwa kuliko unavyofikiria as long as upo ktk active range of age! madhara yapo ya Negative na positive.
Mfumo wa fahamu (central nervous system) hutumia zaidi tendo la ndoa ku-radiate energy inayowezesha ubongo pamoja na mifumo mingine ya mwili kufanya kazi zake vizuri bila msongo.
Suala hapa si lazima uke na uume kukutana na kuingiliana (penetration) ila tu stimulation (msisimko) inayofikisha mtu kileleni (orgasms).
Kwahiyo, nature(asili) inataka mke na mme kufanikisha zoezi hili maana ni jambo muhimu kama ilivyo kutoka jasho mwilini maana sio tu mwili unaondoa uchafu ndani lakini pia inacontrol joto la mwili (cooling effect).
Anayesema amekaa zaidi ya mwaka na hana madhara.., well sikatai wala sikubali maana hatuna ushahidi nalo lakini zipo njia nyingi mbadala kama kutumia sex toys, dildo(vibrant artificial penis zitumiazo umeme), usagaji n.k. sasa sijui yeye anatumia ipi sababu vichocheo anavyo mwilini and, it's brain iniciated.
Ukidumu bila tendo la ndoa muda mrefu, baadhi ya madhara madogomadogo ni kama haya:
- Hasira za mara kwa mara ktk mambo madogo
- Kupendelea sana kuangalia picha za uchi
- Kusahausahau
- Kupendelea story za mapenzi,
- Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke)
- Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu),
- Kuumwa na kichwa
- Kukakamaa mgongo (wanaume)
- Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba katika usingizini wakati unapolala.
- Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency)
- Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno
Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala kama ulevi n.k.
Nina mwez wa nne sasa sijafanya, ila hasira na hiyo kupoteza umakn naona kama vinanijiaga hivi !!!!
je punyeto haifai?
Uongo mtupu.....
mie nna miaka.3 sijafanya ila nipo fit no madhara...
Kuna ukweli asilimia kubwa ya vitu.....
Hayo madhara yapo zaidi kwa aliyewahi kuenjoy tendo kabla.