Madhara ya Kutoshiriki Tendo la Ndoa kwa Muda Mrefu

Madhara ya Kutoshiriki Tendo la Ndoa kwa Muda Mrefu

looooool miaka mitatu and very happy, tena story za mapenzi, na mambo ya kipuuz ndio sitaki hata kusikia, Jamani msiokuwa na waume na wake angalieni haya mambo yasije yakawaponza
 
Kabla sijaoa nilikuwa naweza kukaa mwaka hata mwaka na nusu bila hiyo kitu na sikuexperience matatizo yoyote mkuu.
Hapo kabla ya kuowa ulikuwa hujakwenda Hospitali kumuona Daktari angelikupima mwili wake ungelikuwa una upungufu wa akili ( Saikolojia) lakini hukuwahi kupima na umeowa sasa hongera una bahati sana . Mkuu kitwala
 
Last edited by a moderator:
Nashawishika kuamini ,kunakipindi niliwahi kukaa miezi tano ilikuwa ni sheeder nilishaanza kamchezo flani hivi kakuwawekea vioo wageni wakike halafu nategesha na kiwebcom kisha mzigo nauchungulia kwenye laptop hasa nilimlenga secretary wangu mwenye umbo tata ili akiingia nimpigechabo bila yeye kujua ,hali hiyo iliniondoka siku tatu baada ya wife kurudi ,niliwastua kwa mabadiliko yangu hasa baada yazamani kuwachelewesha mezani nasasa nilikuwa sihitaji mazungumzo zaidi ya dakika moja.
I agree with you brother.
 
looooool miaka mitatu and very happy, tena story za mapenzi, na mambo ya kipuuz ndio sitaki hata kusikia, Jamani msiokuwa na waume na wake angalieni haya mambo yasije yakawaponza

daah nimestushwa na maneno yako jinsi yalivyotofautiana na jina lako, hongera kwa maneno mazuri japo jina lako laonyesha we ni kidemu mcharuko mcharuko mcharukooh yaaani kila ngoma itakayo pigwa we utacheza tu!
 
Daaah...siku ya nne leo ..mgongo umekakamaa kama wa punda...hasira hata nikiona kipepeo anaruka nahisi ananipigia makelele!!
 
Daaah...siku ya nne leo ..mgongo umekakamaa kama wa punda...hasira hata nikiona kipepeo anaruka nahisi ananipigia makelele!!

Hahahaaa, siku ya nne mhhh stop kidding bana Btw muda mrefu ni upi Cc Mzizi mkavu
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa et siku ya 4 full matatizo na mahasira.
Ila kiukweli inasumbua,kama mie sijielewi kabisa hapa.Nina miezi 5 sijagusa papuchi like napoteza direction.

Halafu papuchi nazo zikiamuaga kupishana na mtu inakuwa ni ka-seasnn hata ufanye vip,hata aingie ndani haupigi ni kama kagundu fulani hivi.Ila zikianza kutiririka hadi wanaoowma kuwa unawapiga wengi nao utakuta wamevua alaaa.
 
Back
Top Bottom