Lisa
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 1,549
- 1,075
Khaaaaaaaaaaaaaa! siku ukipata utatoa ujazo wa kikombe , Loh! hahahahaahah! kama nakuona vilesio kweli binafsi ninazaidi ya 3 years sijakutana na dem lakini sijapata athari tajwa hapo juu

habari za usiku wanajf, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya:
Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo,
kupendelea sana kuangalia picha za uchi,
Kusahausahau,
Kupendelea story za mapenzi,
Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),
Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo
yasiyokuhusu),
Kuumwa na kichwa,
Kukakamaa mgongo (wanaume),
Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,
Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),
Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,
Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala
kama ulevi n.k.
...Mmmmmhhhh, una uhakika huwa hawa~do?!! Wapo wenye watoto wanaowalea kwa kificho au kuwaweka kwenye vituo vya kulelea vya dini bali wengine huwa ni wao! Mtazamo tu, usini~quote!!!sina uhakika na yote uliosema maana kuna watu tuna ushahidi nao kabisa ngono ni kama kwao haipo mbona wako fiti na shughuli zao ziko poa tu, watu wa madhebu ya kikistu kama baadhi ya mapadri na maaskofu, nimesema baadhi kwani kuna ambao wameshindwa kudhihirisha hilo.
mnh uletage basi na ushahidi wa maneno tukuamini
habari za usiku wanajf, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya:
Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo,
kupendelea sana kuangalia picha za uchi,
Kusahausahau,
Kupendelea story za mapenzi,
Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),
Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo
yasiyokuhusu),
Kuumwa na kichwa,
Kukakamaa mgongo (wanaume),
Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,
Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),
Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,
Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala
kama ulevi n.k.
Si kweli kuna wakati nilikaa miaka miwili,bila dalili tajwa hapo juu