Madhara ya Kutofanya Tendo la Ndoa muda mrefu.

Madhara ya Kutofanya Tendo la Ndoa muda mrefu.

joyness

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
235
Reaction score
120
habari za usiku wanajf, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya:
• Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo,
• kupendelea sana kuangalia picha za uchi,
• Kusahausahau,

• Kupendelea story za mapenzi,
• Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),
• Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo
yasiyokuhusu),
• Kuumwa na kichwa,
• Kukakamaa mgongo (wanaume),
• Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,
• Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),
• Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,
• Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala
kama ulevi n.k.
 
Lol...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mnh uletage basi na ushahidi wa maneno tukuamini
 
Hii ni justification ya kufanya uasherati, ngoja nilistue liZombie limoja ili nisipate hayo madhara.
 
Si kweli kuna wakati nilikaa miaka miwili,bila dalili tajwa hapo juu
 
habari za usiku wanajf, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya:
• Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo,
• kupendelea sana kuangalia picha za uchi,
• Kusahausahau,

• Kupendelea story za mapenzi,
• Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),
• Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo
yasiyokuhusu),
• Kuumwa na kichwa,
• Kukakamaa mgongo (wanaume),
• Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,
• Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),
• Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,
• Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala
kama ulevi n.k.

mmh!!!HII KALI, NITILIE NUSU...khaa!!!
 
sio kweli binafsi ninazaidi ya 3 years sijakutana na dem lakini sijapata athari tajwa hapo juu
 
Kumbeeeee.....kweli hayo makitu nidawa ndo maana sina hata moja kati ya hayo!!!!
 
Hapa ifaamike tu ni kweli na hakika lakini inategeme sana kama wewe umejiachia kiasi gani....
 
Back
Top Bottom