Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,506
Duh, hatari kwa afya, ngoja ....
naona mtu mwenye ukame kiafya inakuwa hana tatizo ila kisaikolojia ndipo kuna tatizo kwa mtizamo wangu kama hawa wakucheka cheka
Duh, hatari kwa afya, ngoja ....
Kwahio post yako inatufundisha tuvunje amri ya 6 ambao hatujaoa !? Maana wengne hatufanyi tendo hilo kwa kuogopa dhambi
na usipo fanya vile vile ni dhambi huutendei haki mwiliko wako ndo maana vitabu vinakili wazi binadamu tu wadhaifu
na usipo fanya vile vile ni dhambi huutendei haki mwiliko wako ndo maana vitabu vinakili wazi binadamu tu wadhaifu
Huo ni ushetwani jaman ambao hatujaoa tujiadhari na post kama hizi mungu hapendi.. Kwa mlio kwenye ndoa ruksa
Anza kufanya mapenzi na Bwana Yesu
vipi na wale watoto wa primary school wanaokumbwaga na matatizo ya kucheka nao huwa wamekaa muda mrefu bila ku-game?naona mtu mwenye ukame kiafya inakuwa hana tatizo ila kisaikolojia ndipo kuna tatizo kwa mtizamo wangu kama hawa wakucheka cheka
vipi na wale watoto wa primary school wanaokumbwaga na matatizo ya kucheka nao huwa wamekaa muda mrefu bila ku-game?
Law of use and misuse
yeah tupo ukurasa mmoja una misuse resources