hahahahahahahaha umenichekesha sana kamanda
Tatizo usipo'use' kidude kinapotea, si unakumbuka kwenye ikolojia tunaambiwa binadamu alikuwa na mkia
Akajifanya mjanja akawa hautumii, mkia umepotea bure
Afu ujue twiga alikuwa na shingo fupi kama kitimoto, baada ya kuwa anataka kula majani ya juu tu, shingo ikarefuka
Ukikitumia kifaa chako kinazidi kuwa strong-source Asprin na Bishanga