Madhara ya Kutofanya Tendo la Ndoa muda mrefu.

Madhara ya Kutofanya Tendo la Ndoa muda mrefu.

Madhara ni kwa wote au ni kwa wale tu ambao wameshawahi kujamiiyana?
 
uongo mtupu,mm na miaka minne(4) sijawahi kufanya ngono! na nipo fit sina dalili zozote kati ya hizo ulizozitaja,Nakushauri urudi mtaani ukaanze tena kufanya research upya.
 
habari za usiku wanajf, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya:
• Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo,
• kupendelea sana kuangalia picha za uchi,
• Kusahausahau,


• Kupendelea story za mapenzi,
• Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),
• Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo
yasiyokuhusu),
• Kuumwa na kichwa,
• Kukakamaa mgongo (wanaume),
• Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,
• Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),
• Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,
• Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala
kama ulevi n.k.

thanx sana
 
Muda mrefu ni kuanzia siku ngapi?
 
Kucheka inachangiwa na umri, teen ndo hucheka, wakubwa mihasira samtrela zima

kuna wadada wawili kitaa wakubwa wanacheka cheka ovyo kuna siku niliwatafuta kila mtu kwa wakati wake nikawa napiga nao story kama wamewahi kumegwa kila mtu alisema long time enzi za kibaba baba wakati wanacheza kwa hiyo wana ukame
 
Mnaposema kutokufanya mapenzi muda mrefu muwe spesifiki
wengine wanasema hawajawahi kufanya for 4 or 7 years lakini punyeto na madildo ni kila siku
 
Duh, hatari kwa afya, ngoja ....

kuna wadada wawili kitaa wakubwa wanacheka cheka ovyo kuna siku niliwatafuta kila mtu kwa wakati wake nikawa napiga nao story kama wamewahi kumegwa kila mtu alisema long time enzi za kibaba baba wakati wanacheza kwa hiyo wana ukame
 
Kwahio post yako inatufundisha tuvunje amri ya 6 ambao hatujaoa !? Maana wengne hatufanyi tendo hilo kwa kuogopa dhambi
 
Back
Top Bottom