Wewe ndo unatakiwa kuficha ujinga wako na upumbav*uoga kuongea mbele ya watu wengi tena wenye madaraka, bungeni wapinzani wameongea sana kuhusu kuibiwa huku leo wanapinga unawaweka kundi gani?
alikuwa waziri (ulitaka aikosoe serikali ) yeye kazi yake ni kuishauri una uhakika ajawahi fanya ivo.
nani asiye lijua bunge la tz limejaa upuuzi lissu anaongea huko alafu anakuja tetea nje upuuzi huu ndo unapenda na kuunga mkono.
ficha ujinga wako mkuu
Wewe ndo unatakiwa kuficha ujinga wako na upumbav*
Coz unamtetea mtu ambaye alishindwa kusema lolote bungeni??? Inamaana hujui Kama kuna muda mawaziri wanapewa kuchangia bungeni???
Undoa ujinga wako wa Lumumba hapa
Hoja yako n dhaifu Sana hao kina TL walipigia Sana hili kelele lakini kipindi ile nyie Lumumba buku 7 mlikuwq mnaona hawana maana unajua kwamba haya ndiyo yaliyomfukuzisha bungeni ZZK kpindi ile akitaka mikataba iletwe bungeni????Kwa upande wangu huu haukuwa wakati wa kuongelea itikadi za kisiasa instead tulitakiwa tujadili ni namna gani tutaweza kushinda hiii game.......na hapo ndipo tulipoona mapungufu ya TL kwa sababu ameendeleza siasa,lawama juu ya wana CCM na muda huo huo akasahau kuwa wakifukuzwa CCM wanakuwa MASHUJAA KWAKO......certainly, it is so sad......WALIOPO HAWAJATUFIKISHA TULIPO PATAKA,NA WANAOWANIA HATUNA IMANI NAO
Mbona zipo clip zake nyingi tu akipinga mambo hayo akiwa Waziri au wewe hauishi Bongo?Mchukie na huyu aliyekaa bungeni miaka 20 halafu hakuwahi kupinga haya ila leo ndo anauchungu.
Wacha kujipendekeza
Acha wewe samaki wa mvietnam ndio walimpa ujiko magufuli kupewa ugombea uraisi CCM wasomi koko wa sheria wakiwemo mawakili majaji koko walipiga chini serikali Ili serikali ilipe fidia wapate mgao akaunti zao ulaya ziiingiziwe pesa magufuli alicheza kama pele kesi ile ikaisha kimya kimya nje ya mahakama na serikali haikulipa hata thumuni. huyo tapeli lisu hajui how system works huyo ni tapeli kama matapeli wawinda pesa waliojificha kwenye majoho Ya uwakili.Hana uzalendo na nchi. We don't need his assistance to hell with him and his chademaWewe ndo unatakiwa kuficha ujinga wako na upumbav*
Coz unamtetea mtu ambaye alishindwa kusema lolote bungeni??? Inamaana hujui Kama kuna muda mawaziri wanapewa kuchangia bungeni???
Undoa ujinga wako wa Lumumba hapa
Huyu jamaa sheria itamchezesha diliPumba kabisa.... Yaani unatetea kitu miaka kibao halafu unakuja kukipinga kitu hicho hicho, sasa nani kichaa kati ya wewe uliyeandika uharo na Lissu????
Kwa hiyo umesoma Jando na Unyago bcoz ndio Elimu na utamaduni wa Mwafrika. Hapa unatumia Keyboard ni ya Kiafrika. Aeou ni irabu za waafrika? Acha kudharau Wazungu ndio kila kituMimi sijaenda Shuleni kusomea Utamaduni wa Muzungu kama Tundu Lisu, hivyo siwezi kuwa kichaa, kichaa mnaye huko kwenu chadema!
Lisu tapeli!!?? Muogope Mungu hata kama Lisu anakuchefua!.Acha wewe samaki wa mvietnam ndio walimpa ujiko magufuli kupewa ugombea uraisi CCM wasomi koko wa sheria wakiwemo mawakili majaji koko walipiga chini serikali Ili serikali ilipe fidia wapate mgao akaunti zao ulaya ziiingiziwe pesa magufuli alicheza kama pele kesi ile ikaisha kimya kimya nje ya mahakama na serikali haikulipa hata thumuni. huyo tapeli lisu hajui how system works huyo ni tapeli kama matapeli wawinda pesa waliojificha kwenye majoho Ya uwakili.Hana uzalendo na nchi. We don't need his assistance to hell with him and his chadema
Mshezi ni yule aliyeko kwenye sisteam tangu zamani alafu leo anajifanya kuwa mzalendo, ni mpuuzi kupita wapuuzi wote .Ni maajabu, Tundu Lisu anaumia zaidi kuliko Mzungu mwenyewe aliyezuiwa kusafirisha Mzigo, Tundu Lisu anashinda kutwa kutoka povu kumtetea Mzungu, hii ndiyo shida ya kwenda Shuleni maisha yote kusomea Utamaduni wa Mzungu (Muingereza), laiti kama tungekuwa na Sheria ya Kitanzania yaani inayotokana na utamaduni wetu, basi tungekuwa na Wanasheria wanaopigania Utanzania, lkn sasa hivi wanampigania Mzungu kwa maana ndicho walichosomea, binafsi nawachukia Wanasheria wote waliosomea British Common law kwa maana inatoa watu Wasaliti na Washenzi kama Tundu Lisu ambao wao hapa Duniani kwa ajili ya kupigania Maslahi ya Mzungu!
Kwa hiyo umesoma Jando na Unyago bcoz ndio Elimu na utamaduni wa Mwafrika. Hapa unatumia Keyboard ni ya Kiafrika. Aeou ni irabu za waafrika? Acha kudharau Wazungu ndio kila kitu
Anzisheni CHAMA CHA wajinga wewe na babarodaWell said.