Madhara ya kushirikiana na Israeli!

Madhara ya kushirikiana na Israeli!

Haujasema kweli katika suala la Israel na Palestina. Si kwamba Tanzania hatukufungamana na upande wowote, bali tulikuwa tunaiunga mkono PLO ya Palestina na kuilaani Israel. Nakumbuka mwaka 1992 nikiwa sekondari 'nilitembezwa' Matembezi ya Mshikamano kuiunga mkono PLO. kwa hiyo si kwamba hatukufungamana na upande wowote, so please re-check your facts.

Lakini unachoshindwa labda kuelewa ni kwamba kusapoti Palestina na swala la Dunia nzima ikiwemo USA,EU,SADC na wengineo kama vile ilivyokuwa swala la Apartheid ambapo pia nchi nyingi zilipinga apartheid na mwishowe makaburu walizidiwa na kuachia!!
 
tunawajua nyie...Rwanda mliitazamaje na sasa mnaitazamaje...
 
Je! Hapo ulipo wewe uko salama?Pamoja na ukweli kwamba Israel inao maadui wengi ambacho ni mojawapo ya vyanzo vya ugaidi hapa duniani, lkn mimi ninaamini kuminya uhuru mawasiliano pamoja uvunjifu wa haki za kibnadamu ni vyanzo vikubwa vya ugaidi. KWA jinsi hiyo sisi tusiogope uhusiano na Israel but tuheshimu haki za binadamu tu
 
Lakini usichokielewa kilimchomleta Kiongozi wa Israeli hapa AM siyo hivyo unavyofikri bali amekuja kwa sababu anatafuta marafiki baada ya Wazungu kumgomea wakiwemo Obama na EU kwamba wanamtaka atimize makubaliano na asiendeleze ujenzi na kupora ardhi ya Wapalestina na hicho ndicho kilichomleta kwani anahitaji kura kwenye UN sasa atazipata wapi? Ni Afrika tu na siyo Netanyahu peke yake Raisi wa Korea Kusini alikuwepo hapa juzi pia anahitaji kura zwa Waafrika dhidi ya K .Kaskazini huko UN na wakishazipata hizo kura wataendelea na maisha yao na hakuna kitu Waafrika tutapata!
duh..arif wewe ni ombaomba?
 
Najua kuna baadhi ya watu wanashangilia sana ujio wa Kiongozi mkubwa wa Israeli kwenye nchi za AM na hata nchi yetu pia iliwakilishwa ingawaje Raisi wetu hakwenda namuunga mkono kwa hilo!

Binafsi naona kwamba siyo jambo la busara kushirikiana na nchi hiyo ya Israeli, na sababu ni kwamba nchi hiyo ina maadui wengi sana na niijuavyo Israeli, Kiongozi wao hakuja hapa kwa sababu anapenda kusaidia nchi zetu kama ambavyo wengi wanaamini, kwani kama ingekuwa ni hivyo kwa nini hakuja miaka 5 iliyopita? kwa nini leo hii? Hivyo basi ingawaje hilo linaweza kuwa kweli kwa upande mmoja lkn pia tusisahau kwamba Israeli wanategemea msaada wetu kwao pindi watuhitajipo, sasa ni msaada gani tutawapa Israeli?

Ninachopenda kuonya mimi ni kwamba sasa hivi Dunia imechafuka na inaendelea kuchafuka siku hadi siku, kitakachokuja kutokea ni kwamba maadui wa Israeli watakuwa maadui wetu, ghafla na sisi tutaingia kwenye hayo magomvi ya akina Irani, Uturuki na sijui Urusi na Isis, Je tunaweza kukabili hali hiyo?

Kulikuwa na sababu kwa nini Mlm.Nyerere alifwata Siasa za ,,kutofungamana na upande wowote ule", alielewa hili, kwani Mlm.Nyerere alisomea Historia tena huko huko Ulaya hivyo uelewa wake wa Siasa za kidunia ulikuwa mkubwa sana na hakuwa mjinga alivyoamua kujitenga nchi na Siasa za Mataifa makubwa au unaweza kusema kutokuchagua upande!

Hivyo tuchekelee kushirikiana na Israeli lkn siku wakituhitaji tusianze kusema hayatuhusu, hapo ndipo tutakapojua MOSAD ni nani, na je tuko tayari kuwafanya maadui wa Israeli maadui wetu?

Tukumbuke kwamba hakuna msaada unaokuja bure, hata ukisikia USA wametoa msaada TZ basi ujue ni lazima kwa mfano computer ziwe za Dell na siyo Toshiba, ukisikia Ujapani wametoa fedha za br. ni lazima Kampuni ya Japani ndiyo ijenge vile vile Uchina, hivyo kama tunachekelea kupata misaada ya Israeli pia tukubali kuwa nao watakapo tuhitaji, hayo mambo ya akina Boko Haram, Al shabab sijui Koni huko Uganda msifikiri yapo tu bila ya sababu ...

Binafsi nisingependa TZ yetu ijiingize kwenye hayo maugomvi, kwani hatuwezi kuhimili kuwa na maadui!
Sema tu kuwa nyinyi watu wa allah na huyo mtume, allah aishawaziba maskio na

Binafsi nisingependa TZ yetu ijiingize kwenye hayo maugomvi, kwani hatuwezi kuhimili kuwa na maadui![/QUOTE

Sema tu ninyi watu wa allah na wote wafuasi wa huyo mtume, allah alishawaziba maskio ya kiufahamu na hamjui na hamtajua kamwe kuwa adui wa Israel ni uwa adui wa Mungu maana Yeye BWANA ni Mungu wa Ibrahimu, ni Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo (Israel) ila allah na mtume hawataki kabisa watu wawe karibu na Israel, lakini kwasasa Tanzania haiwezi kuendelea kuwa mbali na Taifa teule hili la BWANA MUNGU, kazi kwenu wafuasi wa allah maana hata hao boko haramu, Al shabbabu, Al quaida, Is, na makundi yote ya kigaidi ni matunda ya allah na huyo mtume, yote yanaeneza jihadi na dini ya mtume kws njia ya upanga na kujiripua, bahati mbaya wakati fulani allah huwa anaingiza roho fulani hivi miongoni mwenu ili mshambuliane ninyi wa ninyi kisha allah na hayo majini yake ambayo ninyi mnaambiwa ni mazuri yanakunywa pia damu ya wafuasi wake allah
 
We can not do without Israeli kwa kuwa ni taifa teule la Mungu!

Ni kiini cha imani za watu duniani haswa USA na Ulaya amabao wanamiliki karibu 50% ya uchumi wote wa dunia!
Please msilete habari za Dini mtoa mada hata hajatamka neno lolote LA dini. Anaongelea situation ya mahusiano na marafiki na maadaui ya dunia hii tafdhali jadilini kiuhasilia sio kidini dini. Mimi ni mkristo but sometimes jadilini vitu bila kuweka mihemko ya dini
 
Najua kuna baadhi ya watu wanashangilia sana ujio wa Kiongozi mkubwa wa Israeli kwenye nchi za AM na hata nchi yetu pia iliwakilishwa ingawaje Raisi wetu hakwenda namuunga mkono kwa hilo!

Binafsi naona kwamba siyo jambo la busara kushirikiana na nchi hiyo ya Israeli, na sababu ni kwamba nchi hiyo ina maadui wengi sana na niijuavyo Israeli, Kiongozi wao hakuja hapa kwa sababu anapenda kusaidia nchi zetu kama ambavyo wengi wanaamini, kwani kama ingekuwa ni hivyo kwa nini hakuja miaka 5 iliyopita? kwa nini leo hii? Hivyo basi ingawaje hilo linaweza kuwa kweli kwa upande mmoja lkn pia tusisahau kwamba Israeli wanategemea msaada wetu kwao pindi watuhitajipo, sasa ni msaada gani tutawapa Israeli?

Ninachopenda kuonya mimi ni kwamba sasa hivi Dunia imechafuka na inaendelea kuchafuka siku hadi siku, kitakachokuja kutokea ni kwamba maadui wa Israeli watakuwa maadui wetu, ghafla na sisi tutaingia kwenye hayo magomvi ya akina Irani, Uturuki na sijui Urusi na Isis, Je tunaweza kukabili hali hiyo?

Kulikuwa na sababu kwa nini Mlm.Nyerere alifwata Siasa za ,,kutofungamana na upande wowote ule", alielewa hili, kwani Mlm.Nyerere alisomea Historia tena huko huko Ulaya hivyo uelewa wake wa Siasa za kidunia ulikuwa mkubwa sana na hakuwa mjinga alivyoamua kujitenga nchi na Siasa za Mataifa makubwa au unaweza kusema kutokuchagua upande!

Hivyo tuchekelee kushirikiana na Israeli lkn siku wakituhitaji tusianze kusema hayatuhusu, hapo ndipo tutakapojua MOSAD ni nani, na je tuko tayari kuwafanya maadui wa Israeli maadui wetu?

Tukumbuke kwamba hakuna msaada unaokuja bure, hata ukisikia USA wametoa msaada TZ basi ujue ni lazima kwa mfano computer ziwe za Dell na siyo Toshiba, ukisikia Ujapani wametoa fedha za br. ni lazima Kampuni ya Japani ndiyo ijenge vile vile Uchina, hivyo kama tunachekelea kupata misaada ya Israeli pia tukubali kuwa nao watakapo tuhitaji, hayo mambo ya akina Boko Haram, Al shabab sijui Koni huko Uganda msifikiri yapo tu bila ya sababu ...

Binafsi nisingependa TZ yetu ijiingize kwenye hayo maugomvi, kwani hatuwezi kuhimili kuwa na maadui!
Ungemwambia rais wako asishirikiane na Kagame pia. Kagame si kuaminika, ana ajenda yake.
 
Mleta maada, kusema Tanzania ilikuwa haifungamani na upande wowote ni unafiki. Siasa hii enzi hizo ilikuwa ya nadharia zaidi ila ki uhalisia tulikuwa tumeegemea ulaya mashariki na uchina and the like.

Kwa nini Tanzania ina uhusiano na Palestina na isiwe na Israel kama ni kweli hatufungamani na upande wowote.

Hebu tuambie wale wote tunaojua ni maadui kindakindaki wa Israel (Mayahudi) mbona wamesambaratika na wanachinjana wenyewe, kwa nini? zamani wakiungana kuikabili Israel, sasa wanaungana kuuana wenyewe kwa wenyewe? Kwa nini?

Umetoa mfano wa maugovi ya ISIS, je hawa huko wanapo uwa watu ndiko walipo Wayahudi?

Tusijidanganye hapo Dubai penyewe tunapo kusifia baadhi ya vitega uchumi ni vya Wayahudi kwa mlango wa nyuma. Iran anampango wa kununua ndege kama 100 kutoka USA.

Hata hivyo Tanzania hatukuwa na uhusiano na Israel wa kibalozi tu, mengine tunashirikiana bila ya kujijua, watu wanaenda kuhiji Israel kama hujui hilo ujue sasa.
 
Najua kuna baadhi ya watu wanashangilia sana ujio wa Kiongozi mkubwa wa Israeli kwenye nchi za AM na hata nchi yetu pia iliwakilishwa ingawaje Raisi wetu hakwenda namuunga mkono kwa hilo!

Binafsi naona kwamba siyo jambo la busara kushirikiana na nchi hiyo ya Israeli, na sababu ni kwamba nchi hiyo ina maadui wengi sana na niijuavyo Israeli, Kiongozi wao hakuja hapa kwa sababu anapenda kusaidia nchi zetu kama ambavyo wengi wanaamini, kwani kama ingekuwa ni hivyo kwa nini hakuja miaka 5 iliyopita? kwa nini leo hii? Hivyo basi ingawaje hilo linaweza kuwa kweli kwa upande mmoja lkn pia tusisahau kwamba Israeli wanategemea msaada wetu kwao pindi watuhitajipo, sasa ni msaada gani tutawapa Israeli?

Ninachopenda kuonya mimi ni kwamba sasa hivi Dunia imechafuka na inaendelea kuchafuka siku hadi siku, kitakachokuja kutokea ni kwamba maadui wa Israeli watakuwa maadui wetu, ghafla na sisi tutaingia kwenye hayo magomvi ya akina Irani, Uturuki na sijui Urusi na Isis, Je tunaweza kukabili hali hiyo?

Kulikuwa na sababu kwa nini Mlm.Nyerere alifwata Siasa za ,,kutofungamana na upande wowote ule", alielewa hili, kwani Mlm.Nyerere alisomea Historia tena huko huko Ulaya hivyo uelewa wake wa Siasa za kidunia ulikuwa mkubwa sana na hakuwa mjinga alivyoamua kujitenga nchi na Siasa za Mataifa makubwa au unaweza kusema kutokuchagua upande!

hivi kushirikiana na mtu ni kuingilia ugomvi wake? sasa kama ni hivyo basi hata marekani na wingereza hatupaswi kushirikiana nao maana tutakuwa tunaingilia ugomvi wao na magaidi.
hamna jema hata kidogo...

Hivyo tuchekelee kushirikiana na Israeli lkn siku wakituhitaji tusianze kusema hayatuhusu, hapo ndipo tutakapojua MOSAD ni nani, na je tuko tayari kuwafanya maadui wa Israeli maadui wetu?

Tukumbuke kwamba hakuna msaada unaokuja bure, hata ukisikia USA wametoa msaada TZ basi ujue ni lazima kwa mfano computer ziwe za Dell na siyo Toshiba, ukisikia Ujapani wametoa fedha za br. ni lazima Kampuni ya Japani ndiyo ijenge vile vile Uchina, hivyo kama tunachekelea kupata misaada ya Israeli pia tukubali kuwa nao watakapo tuhitaji, hayo mambo ya akina Boko Haram, Al shabab sijui Koni huko Uganda msifikiri yapo tu bila ya sababu ...

Binafsi nisingependa TZ yetu ijiingize kwenye hayo maugomvi, kwani hatuwezi kuhimili kuwa na maadui!
 
Kwa mara ya kwanza nimekusoma na kukubaliana na wewe mkuu. Atakayepinga mtazamo wako, japo ana haki ya kufanya hivyo, uwezekano mkubwa ni kwamba atakuwa na conflicting interests...kwa ushabiki!!!
pia tuvunje ushirikiano na nchi za magharibi kwakuwa tutakuwa tumeingilia ugomvi wao na URUSI
 
Israel na Afrika kusini enzi ya Makaburu walikuwa wanashirikiana Maabara kutafuta vijidudu vya kumzuru Mtu mweusi, walitumia mabilioni ya pesa.
 
Israel h
Wewe mpalestina?
haijawahi kuua Mtanzania Na Watanzania ni Weusi Africans hawana Nasaba Na Wapalestina. Mchuma janga hula na wa kwao. Sisi Wa kizazi hili tuna haja gani ya kufukua makaburi? Tuandike historian mpya tuache visasi visivyo na tija kama wale wanaolipua wasio hatia.
 
Bado sijaona mantiki ya hoja yako, yaani mimi niogope kutengeneza urafiki na wewe kwa mambo ya msingi kabisa kisa maadui wako watanigeukia na mimi? Lipo jambo moyoni mwako unalo tetea umeogopa kuliweka wazi lakini si hizi sababu za kitoto kabisa.
 
Bado sijaona mantiki ya hoja yako, yaani mimi niogope kutengeneza urafiki na wewe kwa mambo ya msingi kabisa kisa maadui wako watanigeukia na mimi? Lipo jambo moyoni mwako unalo tetea umeogopa kuliweka wazi lakini si hizi sababu za kitoto kabisa.
 
Please msilete habari za Dini mtoa mada hata hajatamka neno lolote LA dini. Anaongelea situation ya mahusiano na marafiki na maadaui ya dunia hii tafdhali jadilini kiuhasilia sio kidini dini. Mimi ni mkristo but sometimes jadilini vitu bila kuweka mihemko ya dini
maadui wa Israel ni wafuasi wa allah na mtume, nawasiotaka uhusiano na Taifa hili teule la MUNGU ni haohao wafuasi wa allah, na wanataka Israel ifutwe kwenye uso wa dunia ni haohao wafuasi wa allah, kwahiyo wewe usitake kutufanya tusijue ajenda na sura halisi ya mleta maada.
 
Ushirikiano si lazima Netanyahu atue Bongo. Upo wa kutosha kati ya Israel na Tanzania.
 
Najua kuna baadhi ya watu wanashangilia sana ujio wa Kiongozi mkubwa wa Israeli kwenye nchi za AM na hata nchi yetu pia iliwakilishwa ingawaje Raisi wetu hakwenda namuunga mkono kwa hilo!

Binafsi naona kwamba siyo jambo la busara kushirikiana na nchi hiyo ya Israeli, na sababu ni kwamba nchi hiyo ina maadui wengi sana na niijuavyo Israeli, Kiongozi wao hakuja hapa kwa sababu anapenda kusaidia nchi zetu kama ambavyo wengi wanaamini, kwani kama ingekuwa ni hivyo kwa nini hakuja miaka 5 iliyopita? kwa nini leo hii? Hivyo basi ingawaje hilo linaweza kuwa kweli kwa upande mmoja lkn pia tusisahau kwamba Israeli wanategemea msaada wetu kwao pindi watuhitajipo, sasa ni msaada gani tutawapa Israeli?

Ninachopenda kuonya mimi ni kwamba sasa hivi Dunia imechafuka na inaendelea kuchafuka siku hadi siku, kitakachokuja kutokea ni kwamba maadui wa Israeli watakuwa maadui wetu, ghafla na sisi tutaingia kwenye hayo magomvi ya akina Irani, Uturuki na sijui Urusi na Isis, Je tunaweza kukabili hali hiyo?

Kulikuwa na sababu kwa nini Mlm.Nyerere alifwata Siasa za ,,kutofungamana na upande wowote ule", alielewa hili, kwani Mlm.Nyerere alisomea Historia tena huko huko Ulaya hivyo uelewa wake wa Siasa za kidunia ulikuwa mkubwa sana na hakuwa mjinga alivyoamua kujitenga nchi na Siasa za Mataifa makubwa au unaweza kusema kutokuchagua upande!

Hivyo tuchekelee kushirikiana na Israeli lkn siku wakituhitaji tusianze kusema hayatuhusu, hapo ndipo tutakapojua MOSAD ni nani, na je tuko tayari kuwafanya maadui wa Israeli maadui wetu?

Tukumbuke kwamba hakuna msaada unaokuja bure, hata ukisikia USA wametoa msaada TZ basi ujue ni lazima kwa mfano computer ziwe za Dell na siyo Toshiba, ukisikia Ujapani wametoa fedha za br. ni lazima Kampuni ya Japani ndiyo ijenge vile vile Uchina, hivyo kama tunachekelea kupata misaada ya Israeli pia tukubali kuwa nao watakapo tuhitaji, hayo mambo ya akina Boko Haram, Al shabab sijui Koni huko Uganda msifikiri yapo tu bila ya sababu ...

Binafsi nisingependa TZ yetu ijiingize kwenye hayo maugomvi, kwani hatuwezi kuhimili kuwa na maadui!
mkuu, mbona kwa sasa tanzania ina ushirikiano na marekani yenye maadui wengi kuzidi hata hiyo Israel, hivyo tuachane na marekani pia???!!!!!!!!!!!!!!! bado hoja zako hazina mashiko hata kidogo, nenda kajipange upya kisha urudi kaka, sawa?
 
Back
Top Bottom