Madhara ya kushirikiana na Israeli!

Madhara ya kushirikiana na Israeli!

We can not do without Israeli kwa kuwa ni taifa teule la Mungu!

Ni kiini cha imani za watu duniani haswa USA na Ulaya amabao wanamiliki karibu 50% ya uchumi wote wa dunia!
Wakati mwingine tunapofanya uchambuzi tunatakiwa kutumia dialectics badala ya bangi za metaphysics. Diplomatic relations is beyond hizo dini zenu. Lakini unatakiwa kufahamu kuwa hizo imani za dini unazojaribu kutanguliza hapa hazipo hivyo huko Tel Aviv.
 
Tumechelewa sana sana kufanya mahusiano na Israel. Ukitaka maendeleo bila Israel huwezi. Wapo dunia nzima na jitihada zao ni kubwa kimaendeleo. Karibuni sana Israel.
 
inalekea uelewa wakokimataifa na hata historia ya nchi hii ni mdogo sana kwako, hivi unajua nchi hii israel aliifanyia mambo managapi kabla uhusiano wetu haujavunjika.Kuhusu maadui kuna nchi ina maadui kama marekani au china.diplomasia yetu ya sasa ni uchumi hatuwezi kukataa kuwa na uhusiano na israel kwa sababu zisizo na mashiko kama zako

Pamoja na mambo hayo mazuri unayodai walitufanyia (sic), bado uhusiano ulifunjika. Kwa nini uhusiano wetu ulivunjika? Ni nini kimebadilika katika sababu zilizopelekea uhusiano wetu uvunjike mpaka tufikirie kurudisha uhusiano huo leo? Wao walitufanyia mambo mengi kama unavyodai. Mbona sisi hatukuwafanyia mambo mengi? You are jumping into this passively and you sound like a supplicant. Na hilo ndio tatizo kuu. Kwa attitude kama yako, uhusiano baina ya Tanzania na Israel, the winner is Israel kwa sababu wanajua kututumia. Sisi hatujui kuwatumia. Israel is returning to Africa kuungana na Wachina na Wazungu kugombania raslimali. Israel just can no longer stand by the side and watch as others are "eating" the continent. They must join the game. Unakumbuka chochote kuhusu apartheid nchini SA? Do you know anything about "unwanted African immigrants" in Israel? Yote anayosema Netanyahu kuhusu Africa anaigiza. Do you remember what Ehud Barak said about Africa and Tanzania in particular? Nyerere and Mandela must be turning in their graves.

PS. Do not let your biblical subjectivities mislead you. Just think.
 
Israel ni nchi muhimu Sana Katika maendeleo hata marekani wanawategemea Sana Israel Katika maendeleo yao ni nchi yenye agano na Mungu atakayeibariki Israel atabarikiwa na atakayeilaani atalaaniwa na Ndiyo maana tz licha ya rasirimali nyingibado tuna umasikini mkubwa.
ha ha ha....
big lie from big head
 
Najua kuna baadhi ya watu wanashangilia sana ujio wa Kiongozi mkubwa wa Israeli kwenye nchi za AM na hata nchi yetu pia iliwakilishwa ingawaje Raisi wetu hakwenda namuunga mkono kwa hilo!

Binafsi naona kwamba siyo jambo la busara kushirikiana na nchi hiyo ya Israeli, na sababu ni kwamba nchi hiyo ina maadui wengi sana na niijuavyo Israeli, Kiongozi wao hakuja hapa kwa sababu anapenda kusaidia nchi zetu kama ambavyo wengi wanaamini, kwani kama ingekuwa ni hivyo kwa nini hakuja miaka 5 iliyopita? kwa nini leo hii? Hivyo basi ingawaje hilo linaweza kuwa kweli kwa upande mmoja lkn pia tusisahau kwamba Israeli wanategemea msaada wetu kwao pindi watuhitajipo, sasa ni msaada gani tutawapa Israeli?

Ninachopenda kuonya mimi ni kwamba sasa hivi Dunia imechafuka na inaendelea kuchafuka siku hadi siku, kitakachokuja kutokea ni kwamba maadui wa Israeli watakuwa maadui wetu, ghafla na sisi tutaingia kwenye hayo magomvi ya akina Irani, Uturuki na sijui Urusi na Isis, Je tunaweza kukabili hali hiyo?

Kulikuwa na sababu kwa nini Mlm.Nyerere alifwata Siasa za ,,kutofungamana na upande wowote ule", alielewa hili, kwani Mlm.Nyerere alisomea Historia tena huko huko Ulaya hivyo uelewa wake wa Siasa za kidunia ulikuwa mkubwa sana na hakuwa mjinga alivyoamua kujitenga nchi na Siasa za Mataifa makubwa au unaweza kusema kutokuchagua upande!

Hivyo tuchekelee kushirikiana na Israeli lkn siku wakituhitaji tusianze kusema hayatuhusu, hapo ndipo tutakapojua MOSAD ni nani, na je tuko tayari kuwafanya maadui wa Israeli maadui wetu?

Tukumbuke kwamba hakuna msaada unaokuja bure, hata ukisikia USA wametoa msaada TZ basi ujue ni lazima kwa mfano computer ziwe za Dell na siyo Toshiba, ukisikia Ujapani wametoa fedha za br. ni lazima Kampuni ya Japani ndiyo ijenge vile vile Uchina, hivyo kama tunachekelea kupata misaada ya Israeli pia tukubali kuwa nao watakapo tuhitaji, hayo mambo ya akina Boko Haram, Al shabab sijui Koni huko Uganda msifikiri yapo tu bila ya sababu ...

Binafsi nisingependa TZ yetu ijiingize kwenye hayo maugomvi, kwani hatuwezi kuhimili kuwa na maadui!
Mkuu hujui kwamba kwa sasa hakuna neutral ground? Asiye upande wetu no adui wetu..tafuta upande wa mwenye N G U V U ili uwe na nguvu!
 
Lakini hatuwezi kuwa na maadui aliokuwa nao Israeli, sisi kama nchi hatuwezi, hatuhitaji na wala hatuna sababu ya kuwa na maadui, kwani kuna nchi nyingi tu hapa Duniani zinakwenda vizuri bila ya kuwa na maadui kama Namibia, Botswana, hata AK yenyewe iko neutral!

Swali langu ni kwamba kesho Israeli akitaka msaada ktk kwetu tutamkatalia vipi wakati tumeshachukuwa wake au unafikiri hii misaada inakuja bure?
ni kitu gani kibaya israel alichowahi kutufanyia kulinganisha na mazuri aliyotutendea
 
You're too late........mchakato wa kuanzisha ubalozi wa Tanzania huko umeshaanza!
 
Pamoja na mambo hayo mazuri unayodai walitufanyia (sic), bado uhusiano ulifunjika. Kwa nini uhusiano wetu ulivunjika? Ni nini kimebadilika katika sababu zilizopelekea uhusiano wetu uvunjike mpaka tufikirie kurudisha uhusiano huo leo? Wao walitufanyia mambo mengi kama unavyodai. Mbona sisi hatukuwafanyia mambo mengi? You are jumping into this passively and you sound like a supplicant. Na hilo ndio tatizo kuu. Kwa attitude kama yako, uhusiano baina ya Tanzania na Israel, the winner is Israel kwa sababu wanajua kututumia. Sisi hatujui kuwatumia. Israel is returning to Africa kuungana na Wachina na Wazungu kugombania raslimali. Israel just can no longer stand by the side and watch as others are "eating" the continent. They must join the game. Unakumbuka chochote kuhusu apartheid nchini SA? Do you know anything about "unwanted African immigrants" in Israel? Yote anayosema Netanyahu kuhusu Africa anaigiza. Do you remember what Ehud Barak said about Africa and Tanzania in particular? Nyerere and Mandela must be turning in their graves.

PS. Do not let your biblical subjectivities mislead you. Just think.
wakati tunapigana na uganda idi amini alinda kuomba msaada israel wakamkatalia ila wapalestina walijitolea kumsaidia Idi amini kwa akili yako nani ni rafiki wa kweli
 
Lakini Uchina na USA wanaweza kumudu kuwa maadui sisi hatuwezi, Boko Haramu peke yake wanawatoa jasho Nigeria!
Kama umesoma UDSM basi wewe ni mnufaika wa uchumi wa Israel. Kama siyo wewe basi ndugu zako waliosoma hapo. Acha kufikiria ndani ya box
 
unachoongea basically hakina maana yoyote kwa sababu maadui wa Israel ndio maadui wa Marekani, Uingereza, Ufaransa and the like, kwa kuwa na uhusiano na mataifa hayo tayari sisi ni maadui wa maaadui wa Israel!
Pia maadui wa Israel hawana hoja msingi ni magaidi tuu ambao wanafurahia kuona damu zimamwagika hawana agenda, wangekuwa na agenda wangejitokeza na kuomba mazungumzo ya kidiplomasia lakini sasa wanafanya vita ya woga za kuvia na kuua watoto, wanawake na raia wasio na silaha yoyote.
Hatuwezi kuogopa waoga hawa ndio majeshi yetu yapo Congo DR, Darfur,Lebanon na kwingineko na natoa mwito tupeleke majeshi haraka Somalia TUKAWAFAGIE hawa Alshabab wanaotusumbua
 
Kuna nchi nyingi tu za Afrika ambazo zimekuwa na uhusiano na Israel kwa miaka mingi sana na hawasumbuliwi na hao maadui unaosema wewe, Kenya ni mfano mmojawapo pamoja na kuwa kwa sasa wana uhasama na Al Shabaab. Na ukumbuke tu kuwa bifu yao na Al Shabaab haihusiani kabisa na uhusiano wao na Israel, bali ni kitendo cha Kenya kuwapiga na kuwasambaratisha Al Shabaab kule Somalia.
 
unachoongea basically hakina maana yoyote kwa sababu maadui wa Israel ndio maadui wa Marekani, Uingereza, Ufaransa and the like, kwa kuwa na uhusiano na mataifa hayo tayari sisi ni maadui wa maaadui wa Israel!
Pia maadui wa Israel hawana hoja msingi ni magaidi tuu ambao wanafurahia kuona damu zimamwagika hawana agenda, wangekuwa na agenda wangejitokeza na kuomba mazungumzo ya kidiplomasia lakini sasa wanafanya vita ya woga za kuvia na kuua watoto, wanawake na raia wasio na silaha yoyote.
Hatuwezi kuogopa waoga hawa ndio majeshi yetu yapo Congo DR, Darfur,Lebanon na kwingineko na natoa mwito tupeleke majeshi haraka Somalia TUKAWAFAGIE hawa Alshabab wanaotusumbua

Nafikri wewe kama walivyo wachangiaji wengi humu ni wagumu sana kuelewa au labda sijui hamtaki kuelewa, nilichomaansiha ni kwamba sisi hatuwezi kumudu kuwa na maadui wa Isreali, sasa wewe unataja nchi kama USA, Ufaransa n.k hao wanaweza kudili na maadui wa Israeli hata hivyo kila siku wanashikwa juzi kati hapa walishikwa na magaidi wa isis Airport huko huko Ulaya!

Lkn hawa Wazungu wana kila sababu ya kuwa na Israeli kwa maana wana historia nao, kwa mfano huwezi kuwatenganisha Waingereza na Israeli kwa maana ndiyo waliowapa hiyo nchi iliyokuwa inakaliwa na Wapalestina na Wayahudi (hapa naongelea Wayahaudi asilia na siyo Wahamiaji wa ktk Ulaya, Urusi na kwingineko) mwaka 1948 kama zawadi, vile vile Ufaransa ndiyo waliokuwa wanatawala huko Syria , Lebanoni na kwingineko hivyo hao watu wana kila sababu ya kuwa sehemu ya matatizo ya Israeli!

Sasa sisi tuna uhusiano gani na Israeli mpaka tuje tutake tujiingize kwenye magomvi yao? Yaani ni kwa nini adui wa Isreali awe wetu? Angalia shida wanayoipata Nigeria na Boko Haram au hata Kenya tu hapa na Al Shabab sisemi kwamba ni kwa sababu ya Israeli ila nimetolea mfano jinsi hayo mambo yanavyoweza kuwa kero kwenye nchi hivyo sisi mpaka leo hii tumebarikiwa kwa kutokuwa na haya magomvi sasa kwa nini tuyatafute?
 
Si lazima tuwe na uhusiano na wazungu wote.
Hoja ya mtoa mada ina ukweli ndani yake kwa wakati huu wa gaidi. tahadhari ni muhimu yaani hatupaswi kutazama upande mmoja tu wa shilingi
 
We can not do without Israeli kwa kuwa ni taifa teule la Mungu!

Ni kiini cha imani za watu duniani haswa USA na Ulaya amabao wanamiliki karibu 50% ya uchumi wote wa dunia!
mkuu mbona kama umeenda mbali sana kwa hiyo hata USA na ULAYA nayo ni mataifa teule ya mungu? mbona sisi watanzania tunashabikia sana mambo,sijui ni nini au mwendo kasi kichwani? wewe unafikiri hapo ulipo tukianzisha uhusiano na ISRAEL wewe utafaidika nini,yule kaleta mada unachotakiwa ni kuchangia siyo kunengua.
 
Nafikri wewe kama walivyo wachangiaji wengi humu ni wagumu sana kuelewa au labda sijui hamtaki kuelewa, nilichomaansiha ni kwamba sisi hatuwezi kumudu kuwa na maadui wa Isreali, sasa wewe unataja nchi kama USA, Ufaransa n.k hao wanaweza kudili na maadui wa Israeli hata hivyo kila siku wanashikwa juzi kati hapa walishikwa na magaidi wa isis Airport huko huko Ulaya!

Lkn hawa Wazungu wana kila sababu ya kuwa na Israeli kwa maana wana historia nao, kwa mfano huwezi kuwatenganisha Waingereza na Israeli kwa maana ndiyo waliowapa hiyo nchi iliyokuwa inakaliwa na Wapalestina na Wayahudi (hapa naongelea Wayahaudi asilia na siyo Wahamiaji wa ktk Ulaya, Urusi na kwingineko) mwaka 1948 kama zawadi, vile vile Ufaransa ndiyo waliokuwa wanatawala huko Syria , Lebanoni na kwingineko hivyo hao watu wana kila sababu ya kuwa sehemu ya matatizo ya Israeli!

Sasa sisi tuna uhusiano gani na Israeli mpaka tuje tutake tujiingize kwenye magomvi yao? Yaani ni kwa nini adui wa Isreali awe wetu? Angalia shida wanayoipata Nigeria na Boko Haram au hata Kenya tu hapa na Al Shabab sisemi kwamba ni kwa sababu ya Israeli ila nimetolea mfano jinsi hayo mambo yanavyoweza kuwa kero kwenye nchi hivyo sisi mpaka leo hii tumebarikiwa kwa kutokuwa na haya magomvi sasa kwa nini tuyatafute?
Israel ni taifa teule la Mungu na Mungu alimwambia Israel "Atakayekubariki nitambariki na atakayekulaani nitamlaani" Angalia marafiki wa Israel kama US,UK Russia, Ufaransa et al walivobarikiwa kwa kuwa wanawaunga mkono Israel?
 
we u
Unamaanisha hata msaada wa wataalamu kutoka Rwanda hautakuja bure, siyo?
wewe unadhani wanyarwanda wakija hapa tz wanakuja kufanya kazi bure ni watoto wa mjomba au shangazi yako?
 
mkuu, mbona kwa sasa tanzania ina ushirikiano na marekani yenye maadui wengi kuzidi hata hiyo Israel, hivyo tuachane na marekani pia???!!!!!!!!!!!!!!! bado hoja zako hazina mashiko hata kidogo, nenda kajipange upya kisha urudi kaka, sawa?
hivi nyie hata hiyo marekani imewafanyia nini ndo kusema kwamba marekani ni mshirika mhimu kwa tz,marekani anachukua vingapi vya kwetu tena karibia bure kabisa.
 
Back
Top Bottom