Madhara ya Kukandamiza NGONO........!

Na ambaye hajawahi soma baibo? ana refer sodoma na Gomora pia?

Cha kujiuliza, hata asiyeamini kabisa anajiachia freely??

Wanaojiachia jamii inawasuta kama wamepinda, sijui wako vipi, hata ukienda huko wanakohubiri uhuru wa binadamu afanye atakalo

Mfano: JLO walivyo msema kwa kukwapua kitoto muda mfupi tu baada ya divorce

Mali yuangu mwenyewe matumizi inipangie jamii, inahu

Sodoma na Gomorah
 

Haki ya mungu umeshindikana wewe!
 
Ni kweli tunaishi kwenye mnyororo usionekana....

"We are all institutionalized" kwa namna moja au nyingine.

Vingi ulivyovieleza vina ukweli, na nadhani wenzutu wa carribien kule na maeneo ya brazil na jirani zao latino huko wamelijua hilo ndio maana wao zimekuwa jamii za kujiachia sana.
 
Sifikiri ilo ni Tatizo, kwa uelewa wangu ni vitu vingi vinapelekea watu ivyo kibaolojia...............
 
Law of use and disuse...kitu kinaweza potea au kupungua ufanisi kama hakitumiwi mara kwa mara...
 
:majani7:napita tuu!!! japo naona kama imepewa kipaumbele sana ktk maisha ya mwanaadamu na hata hivyo....nakataa kukandamiza uwezo wa kunusa kwa binadamu coz kila kiumbe kapewa namna yake ya kutokukandamiza ngono... mf bata, kuku. binadamu, mbwa, mbuzi nk NI MTAZAMO TUU
 
The more you do the more testerone homone is produced,so the more you need it! so better don't do before you are ready!
 
Kwa hiyo kuliko "kuwakwaza watu" ni heri tumkwaze Mungu, au sio Mtambuzi ? BTW ni elimu nzuri sana kama ingechanganywa na KWELI fulani hivi ambayo nadhani inamiss hapa. Kwa mtindo wa somo hili dunia itakua full CHAOS aisee!! Umeshawahi kutembelea banda lenye nguruwe zaidi ya 20 hivi wa jinsia tofauti?
Maandiko matakatifu yanakataza ngono, hivyo kuzungumzia ngono na kuihusisha na maandiko matakatifu ni kutaka kuwakwaza watu.
 
Last edited by a moderator:
mi siungi hoja mkono wala mguu,hapa unaniibia chenji yaani nigawe kama njugu kisa nimepata hamu hii mambo ukiendekeza inakuwa hatari waweza jikuta inakua dozi asubuhi,mchana,jioni na usiku yanini kuweka mwili wangu sipana mweh ushindwe kabisa.
 
Mtambuzi nina swali, nifate matamanio ya mwili kwa kuendelea kuzini maana bado nipo nipo sana au nifuate maagizo ya kidini ambayo yanapinga ngono eventually will lead me to all the side effects ie hysteria?
 
Last edited by a moderator:
nimeimaliza yooooooooooote.................mama nangi anatakoma, hakuna kukandamiza tnaaaa
 
Mkuu usi amasiamasishe kharam na usitake kuturudisha katika upagani au mzemwenye usha chua kadi kule frimasson?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…