Madhara ya kujisaidia vichakani !!....

Madhara ya kujisaidia vichakani !!....

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Wana Jf nakuombeni sana tusiwe na tabia ya kujisaidia vichakani....
Angalia balaa lililompata huyu jamaa, mtarimbo wa punda kukabiliana nao mhhh!!, ni bora hata kunyongwa kama Saddam

[video=facebook;229660150409676]http://www.facebook.com/video/video.php?v=229660150409676[/video]

Bofffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffff
 
Boflo umepinda wewe...

Hahahahaaa daaah nimecheka sana aisee.
 
duh, jamaa alikoma harudii tena.
 
Boflo kweli boflo...sijui wa pilau au nazi, lol! Punda wa aina hii yuko Ngamiani tu hapatikani kwetu Singida
 
Boflo kweli boflo...sijui wa pilau au nazi, lol! Punda wa aina hii yuko Ngamiani tu hapatikani kwetu Singida

Punda amevumulia kupigwa vibao usoni...
alimradi apate kile alichokuwa anakitaka
 
Ni Kawawa (RIP) ndiyo aliwaambia akina mama kuwa "Uchumi mnao ila mmeukalia."

Mami Nyani Ngabu, huyu Boflo kapinda si kawaida, hahahahaa.............
Ndio maana Baba wa taifa aliwahi kuwaambia wananchi.....

"Uchumi wanao lakini wanaukalia!!"
 
Haya Boflo jioni njema. Dah Punda kakoma mpaka kamwangusa bana
 
Ni Kawawa (RIP) ndiyo aliwaambia akina mama kuwa "Uchumi mnao ila mmeukalia."

Mami Nyani Ngabu, huyu Boflo kapinda si kawaida, hahahahaa.............

Kumbe hakuwa mwalimu??
 
Hahahaha punda kapenda **** la jamaa
 
Kwa nini Boflo unapenda stori za tigo tigo?
 
Back
Top Bottom