Madhara ya kufanya mapenzi na wanawake/wanaume wengi

Madhara ya kufanya mapenzi na wanawake/wanaume wengi

Mchungaji Asante sana kwa kutukumbusha barikiwa sana [emoji120]
 
nan kasema hamna kitu kama ocho kuna malaya wanajiuza na maisha yao mazur na wanaaman na furaha hayo magonjwa yapo tuuu usipokufa na ukimwi utakufa kwa kansa na kansa ikikuepuka utapata ajali usitutishe matusi yanaruhusiwa kupunguza hasira achaa tuhangaike kila mtu anahatima yakeee
Kajiuze na wewe ufaidi..!
 
Wanawake wanakuwa kwenye hatari kubwa ya kupata saratani ya shingo ya kizazi...
 
mnajifanya kodoo wakati mbwa mwitu ukweli wa mtu upo nafsini mwake na sio kujionesha we mtakatifuuuu mfyuuuuuuuuu
Hivi kukumbushana/kuelezana linalopaswa kuwa ni kujifanya mtakatifu?
 
Watu wengi wanaenda nje ya uhusiano sio kwa sabab ya kutafuta radha ila ni nikutokujiamin au kukosa uaminifu,...
 
Hivi kukumbushana/kuelezana linalopaswa kuwa ni kujifanya mtakatifu?
espy Mungu akubariki lkn kuna wengine wapo kwaajili ya kupinga tu ....chukua points za msingi huyo anayepinga muache alivyo maana waweza kujikuta anakukasirisha
 
Felister Mitsoji Patrick Masenya Sikuachi Kamwe
Hapo kwenye mesenya, isije kua ulitaka kusema Samenya
c229ae9c8ba9788bb0068b0936b5460d.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom