Naamini kama umeoa huyo mwanamke ulitafutiwa na dada zako au wazazi wako sio bure. Pili, wakati wa kutishana kuhusu miroho hiyo umepitwa na wakati. Sio kila unachokipenda wewe wote tukipende. Ka weye ni domo zege tena pengine ukute una ka bamia kale ka 2" wadhani utathubutu kuzungusha mara 2 kwa siku kwa wiki??
Ule msunyo anaokusunya bidada uliyemchafua bure ukamwacha na uchu wa fisi wadhani utathubutu kurudia?? Haya, siku ukutane na asiye na simile akupe za uso kuwa, Hivi wakiitwa wanaume nawe utaenda?? Aongezee msunyo. Hutarudia.
Kaa na mafundisho yako ya dini yako, tuachie wenyewe mibinuko yetu.