Madhara ya kufanya mapenzi na wanawake/wanaume wengi

Uasherati ni dhambi inayofanyika ndani ya mwili wa binadamu, inakuunganisha na mtu mwingine ndo maana tunabeba miroho mingine ambayo hatukuwa nayo.... Ukiiweza kudumu na mmoja hakika utaziona baraka katika maisha yako....

Asante Mtumishi kwa kutukumbusha
Umenena vyema Dada angu
 
Naamini kama umeoa huyo mwanamke ulitafutiwa na dada zako au wazazi wako sio bure. Pili, wakati wa kutishana kuhusu miroho hiyo umepitwa na wakati. Sio kila unachokipenda wewe wote tukipende. Ka weye ni domo zege tena pengine ukute una ka bamia kale ka 2" wadhani utathubutu kuzungusha mara 2 kwa siku kwa wiki??
Ule msunyo anaokusunya bidada uliyemchafua bure ukamwacha na uchu wa fisi wadhani utathubutu kurudia?? Haya, siku ukutane na asiye na simile akupe za uso kuwa, Hivi wakiitwa wanaume nawe utaenda?? Aongezee msunyo. Hutarudia.
Kaa na mafundisho yako ya dini yako, tuachie wenyewe mibinuko yetu.
 
Hujalazimishwa kuacha , hata kama ukweli una uma lkn ndiyo dawa ya kukuponya na hayo maisha machafu

Aziniye na mwanamke hana akili kabsa .....
 
Mungu hawezi kushuka wala kutumanmalaika ili aseme na wewe.hutumia watumishi wake ili waweze kusema na ww.

~Hutakuwa wakwanza kubisha ni vile unavyo ona ww km ukiona hayo ni maisha unayoyapenda yanakupendeza sawa.lkn ktk mithali 16:2 inasema."Njia za mtu ni safi machoni pake mwenyewe,bali Bwana huzipima roho za watu".

Usiwe miongoni mwao,2Timotheo 3:7."Wakijifunza siku zote,ila wasiweze kabisa kuufikia ujuzi wa kweli."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada na wenzako, mnaongea tu mavumba hapa. Wapi utafiti wenyu? Kila mtu aweke research yake aliyofanya with concreate evidences, kuliko kila ashushe mavumba yake hatutaelewana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujalazimishwa kuacha , hata kama ukweli una uma lkn ndiyo dawa ya kukuponya na hayo maisha machafu

Aziniye na mwanamke hana akili kabsa .....

Nadhani unataka tukazini na mbuzi. Hatuendi basi ila tutazini na hao hao wanawake. Nilisema; Kwa vijimaneno vyako wadhani tutaacha huo mchezo?? Hatuachi basiii
 
Mungu hawezi kushuka wala kutumanmalaika ili aseme na wewe.hutumia watumishi wake ili waweze kusema na ww.

~Hutakuwa wakwanza kubisha ni vile unavyo ona ww km ukiona hayo ni maisha unayoyapenda yanakupendeza sawa.lkn ktk mithali 16:2 inasema."Njia za mtu ni safi machoni pake mwenyewe,bali Bwana huzipima roho za watu".

Usiwe miongoni mwao,2Timotheo 3:7."Wakijifunza siku zote,ila wasiweze kabisa kuufikia ujuzi wa kweli."

Sent using Jamii Forums mobile app

Nendeni jukwaa la dini zenu kule. Ndo maana hatufunguagi jukwaa lenu. Tuacheni jamani tujifurahishe. Huyo Mungu hakuviweka viungo hivi bila kujua kuwa kazi yake ni nini. Full stop. Acha kuvitumia vikaozee kaburini. Nakuambia utalia kweli siku ukifika ukatukuta tupo viti vya mbele na tukila bata za peponi.
Tumefundishwa kuwa kule twaenda pewa mavirgin 72, wenye macho ka komamanga. Upooo?? Wadhani kuna kulala kule?? Mazoezi tunayaanzia hapa hapa
 
Kuna jehenamu na peponi una Uhuru wa kuchagua pa kwenda

Kumbe tutapewa nafasi ya kuchagua?? Nadhani nitakuwa kichaa kuchagua kusiko na huo mchezo. Kwetu wanatufundisha kuwa; Peponi kule tumeandaliwa sisi vidume, mavirgin 72 wenye macho makubwa ka komamanga. Huko ndo nitachagua mimi na ndo maana nafanya haya mazoezi hapa duniani nisije jiona mshamba wa mambo
 
Sawa kaka kila la kheri ktk kuchagua kwako lkn kumbuka Mungu hazihakiwi chochote apandacho mtu ndicho atakacho vuna wewe zini sana utapata malipo kulingana na matendo yako
 
Back
Top Bottom