Madhara ya kufanya mapenzi na wanawake/wanaume wengi

Madhara ya kufanya mapenzi na wanawake/wanaume wengi

Nendeni jukwaa la dini zenu kule. Ndo maana hatufunguagi jukwaa lenu. Tuacheni jamani tujifurahishe. Huyo Mungu hakuviweka viungo hivi bila kujua kuwa kazi yake ni nini. Full stop. Acha kuvitumia vikaozee kaburini. Nakuambia utalia kweli siku ukifika ukatukuta tupo viti vya mbele na tukila bata za peponi.
Tumefundishwa kuwa kule twaenda pewa mavirgin 72, wenye macho ka komamanga. Upooo?? Wadhani kuna kulala kule?? Mazoezi tunayaanzia hapa hapa
Hallelujaaah!!! Furaha ya ajabu ukikaa kiti cha mbele maana matendo yako ndio yatakukalisha hapo.maana tutaimba Hosana tukizunguka kiti cha enzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujakatazwa zini saaaaanaaa.
~Mungu aliisha wai ishi na majeuri tena walio utawala ulimwengu kwa kiburi na jeuri km vile ndio walio umba dunia.lkn wako wap na walivyo jivunia je?wako navyo??

~Me nakuombea neema ipitayo neema zote ufate kufahamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngono maana yake sex au?
Mfano mme akamwambukiza mke gonjwa baada ya tendo linaitwa gonjwa la nini?
Ebu kajiombee wewe na ukoo wako.
 
Sawa kaka kila la kheri ktk kuchagua kwako lkn kumbuka Mungu hazihakiwi chochote apandacho mtu ndicho atakacho vuna wewe zini sana utapata malipo kulingana na matendo yako

Ubarikiwe kwa kunipa ushauri mzuri kuwa kumbe kuna siku nitavuna papuchi. Ndo utam nautamani
 
Mchungaji,mwanaume hazini. Hebu tuonyeshe andiko hapa linalothibitisha kuwa ni kosa kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja!! Maana watumishi wa Mungu wengi walikuwa wanapiga vizuri tu..! Hata Ibrahimu alimchapa kijakazi wake,daud pia mpaka akamuua Uria baada ya kunogewa..! Mfalme Suleiman ndo kinara kabisa wa kupiga vitu. Biblia tangu kitabu cha mwanzo mpaka ufunuo,inamkataza mwanamke kufanya uzinzi akishaolewa! Hata adhabu ya kupigwa mawe mpaka kufa iliwahusu wanawake tu,hata neno kahaba kwenye Biblia ni neno linalomhusu mwanamke! Mwanaume haiwezekani kabisa kuwa na mke mmoja tu..! Ndo maana unaona nchi zote Duniani wanawake ni wengi kuliko wanaume..! Hao wanaobaki unadhani watapigwa na nani!??

Me nna uhakika wewe mwenyewe unapiga vyombo vizuri tu,sema hapa kwa vile upo nyuma ya keyboard utajidai mwema lkn ukweli unaujua huwezi kuwa dem mmoja!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeee haahaaahaaaahaaa jamani mweeeee

Mungu nifundishe neno lako.haya mkuu jaza mwili ili ukaifanue hiyo kazi.

Note; Mbinguni hakuna kazi ingine zaidi ya kumsifu YEHOVA

Sent using Jamii Forums mobile app

Pole sana mkuu. Dah! Ni yupi ni mwongo hapa?? Aliyenifundisha kuwa ameambiwa na mwenye hizo mbingu kuwa kule kuna mito ya pombe na mavirgin 72 au huyo aliyekufundisha kuwa kule mwaenda imba?? Jamani nimesema, pelekeni huu uzi wenu kuleeee kwenye jukwaa la dini mkadanganyane kule.
 
Sawa mkuu nimekuelewa hii ni kama vita ya helmagedon mwamuzi ni yy alie ifanya mbingu na nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulia bibie acha jazba muombe Mungu akusaidie utoke kwenye hayo maisha machafu...

matusi hayatafuta nilichoandika wala hayahalalishi uzinzi ..jitafakari
kwendraaaaaaaa nakushangaa unaeongea vtu visivo na uthibitishooo eti laana unazjua laana cna jazba ata pole najua yamekuingia
 
Namba 1 na 11 ni watumishi wachache sana wenye uwezo wa kuwafundisha waumini ukweli juu ya hayo mambo. Tunaita Injili ngumu.
Kwa kuongezea ni kwamba kila muunganiko unaokuwa nao na mwanamke/ mwanaume katika ulimwengu wa kiroho bond hiyo haiondoki mpaka umeiondoa. Na namna ya kuiondoa kiimani ni kuvunja muunganiko huo kwa kutaja jina la mmoja baada ya mwingine. Hii ni moja kati ya mambo yamekuwa yakifanya ndoa nyingi kuwa na matatizo. Kwa hiyo kama umejuana na wanaume au wanawake 100 lazima uwataje kwa majina na kujitenganisha na nafsi zao.
 
Mchungaji,mwanaume hazini. Hebu tuonyeshe andiko hapa linalothibitisha kuwa ni kosa kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja!! Maana watumishi wa Mungu wengi walikuwa wanapiga vizuri tu..! Hata Ibrahimu alimchapa kijakazi wake,daud pia mpaka akamuua Uria baada ya kunogewa..! Mfalme Suleiman ndo kinara kabisa wa kupiga vitu. Biblia tangu kitabu cha mwanzo mpaka ufunuo,inamkataza mwanamke kufanya uzinzi akishaolewa! Hata adhabu ya kupigwa mawe mpaka kufa iliwahusu wanawake tu,hata neno kahaba kwenye Biblia ni neno linalomhusu mwanamke! Mwanaume haiwezekani kabisa kuwa na mke mmoja tu..! Ndo maana unaona nchi zote Duniani wanawake ni wengi kuliko wanaume..! Hao wanaobaki unadhani watapigwa na nani!??

Me nna uhakika wewe mwenyewe unapiga vyombo vizuri tu,sema hapa kwa vile upo nyuma ya keyboard utajidai mwema lkn ukweli unaujua huwezi kuwa dem mmoja!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Suleiman alikua na wake 700 na mazulia 300 aka michepuko sisi iweje tuwe na mke mmoja ?Halafu kua na mtu mmoja huwezi jua mastyle makali ya kufa mtu kila siku itakua kifo cha mende tu!
7562a1bf1355650868b15c78b82abeee.jpg
 
Hujakatazwa zini saaaaanaaa.
~Mungu aliisha wai ishi na majeuri tena walio utawala ulimwengu kwa kiburi na jeuri km vile ndio walio umba dunia.lkn wako wap na walivyo jivunia je?wako navyo??

~Me nakuombea neema ipitayo neema zote ufate kufahamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utaishi milele?

Ukitaka kufundisha usiwe na hasira wala usifundishe kwa vitisho
 
Hosea(aliyekuwa nabii wa Mungu) aliambiwa akaoe mwanamke kahaba. Sasa huyo mwanamke alikuwa amelala na wanaume wangapi kama kazi yake ni kahaba? Na si ingekuwa miroho ya shetani inatransfer kwenda kwa mtu mwingine, Mungu angemwamuru mtumishi wake kuoa kahaba?
HASUBIRI JIBU LAKE
 
Kama Suleiman alikua na wake 700 na mazulia 300 aka michepuko sisi iweje tuwe na mke mmoja ?Halafu kua na mtu mmoja huwezi jua mastyle makali ya kufa mtu kila siku itakua kifo cha mende tu!
7562a1bf1355650868b15c78b82abeee.jpg
Nasubir hapa pia atakavopangua
 
Back
Top Bottom