mchungaji7
Senior Member
- Feb 2, 2017
- 187
- 396
Wapendwa katika Bwana habari za shughuli,
Nimeona vyema nishirikiane nanyi ubaya wa kufanya mapenzi na wanaume au wanawake wengi.
Awali ya yote nitoe maelezo kidogo then niendelee na madhara naomba ifahamike sijamlenga mtu yoyote kama mtu binafsi bali nalenga kufumbua macho yetu sote juu ya kile tukifanyacho tukidhani ni ujanja au kufaidi dunia.
Kufanya mapenzi kunahusisha mwili, nafsi na ufahamu wote nisema kunahusisha mwili mzima.
Nikisema nafsi nina maana ya roho, mwanadamu ameumbwa kwa mfano wa Mungu, hivyo ana roho na mwili lakini ndani ya moyo wa mwanadamu kama hakuna roho wa Mungu kuna roho za shetani.
Unapofanya mapenzi na wanawake wengi au wanaume wengi upo kwenye hatari ya kukumbana na haya yafuatayo;
1.Unajivika miroho ya shetani ya kila aina ndiyo ngoja nikupe mfano
ukilala na mwanaume au mwanamke mwenye roho ya uzinzi maana yake anakuambukiza ile roho.
2.Unaharibu mahusiano yako na Mungu.
3.Unaharibu mahusiano yako na mwenza wako.
4.Unajiondolea uaminifu.
5.Thamani yako inapungua.
6.Unajizeesha kabla ya wakati wako.
7. Unaongeza idadi ya watoto wa mitaani.
8.Unajiweka kwenye hatari ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa ikiwepo ukimwi.
9. Unajiingiza kwenye mitego ya kufumaniwa.
10.Kwa wanaume unajiingiza kwenye wimbi la umasikini.
11.Unajivika mikosi na mabalaa.
Hayo ni baadhi ya madhara ya kuwa na idadi kubwa ya wanawake/wanaume.
Tulia na mwanamke/mwanaume mmoja ndoa ni paradiso.
HAKUNA JAMBO JIPYA CHINI YA JUA