God forbidWakuu, ni kama joke lakini wikiendi hii nilimkuta dogo mmoja amelewa chakari kijiweni, nilipofika tu akaanza kuniambia, "Bro, hivi ikiwa dawa ya babu, wanayosema inatokana na mti wenye sumu, ikawa na madhara (side effects) baada ya muda kama miezi sita au mwaka, hii nchi si itakuwa inaongozwa na ma-mento? machizi kama mimi? maana inasemekana JK kanywa, wakuu wa mikoa, watendaji wakuu wa serikali, mawaziri, maaskofu, wafanya biashara wakubwa, vigogo wanasiasa etc etc." Nilimpuuzia, lakini.....!!!!?????????
Wakuu, ni kama joke lakini wikiendi hii nilimkuta dogo mmoja amelewa chakari kijiweni, nilipofika tu akaanza kuniambia, "Bro, hivi ikiwa dawa ya babu, wanayosema inatokana na mti wenye sumu, ikawa na madhara (side effects) baada ya muda kama miezi sita au mwaka, hii nchi si itakuwa inaongozwa na ma-mento? machizi kama mimi? maana inasemekana JK kanywa, wakuu wa mikoa, watendaji wakuu wa serikali, mawaziri, maaskofu, wafanya biashara wakubwa, vigogo wanasiasa etc etc." Nilimpuuzia, lakini.....!!!!?????????
God forbid
du mkuu utingo ni kweli dawa ya babu ni sumu lakini ina dawa yaani ni dawa ndani ya dawa,kwa sababu mti wa babu unaua chembe hai mbovu zote eg kancer na vvu na chembe hai muhimu kwa binadamu sasa kama mtu ana chembe hai nyingi hawezi pata madhara ila wale waliopungukiwa chembe hai wanaweza hata kufa kwa hiyo kinachofanyika ni kunywa dawa ya babu then unakunywa dawa nyingine ya miti shamba hiyo hiyo ambayo inalinda chembe hai nyeupe zisiuliwe na dawa ya mti wa babu ,mimi ninayo hiyo dawa na kama kuna mtu amepata madhara kutokana na dawa ya babu na anahitaji hiyo DAWA ya DAWA ya babu aniPM gharama yangu ni mia hamsini tuu.