bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Jan 13, 2015 #21 nyamchele hiyo ndio njia ya kwenda nyumbani kwako? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
N Ngarna JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,964 Reaction score 824 Jan 13, 2015 #22 Hiyo chamtoto watu wanasafiri na ungo bila cables.
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,073 Jan 13, 2015 #23 bysange said: Mikononi mwa Israeli mtoa uhai lol! Click to expand... Hakika..
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Jan 13, 2015 #24 Juu kwa juu hiyo
mwalimumzalendo1 JF-Expert Member Joined May 19, 2014 Posts 1,098 Reaction score 407 Jan 13, 2015 #25 Kabla ya kupanda ntagawa urithi kabisaa
pierre tall JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 4,364 Reaction score 4,048 Jan 13, 2015 #26 Kuna vitu vingine unamtafutia mtoa roho sababu...
concordile 101 JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 7,007 Reaction score 15,487 Jan 13, 2015 #27 hata waniambie zawadi ni dhahabu zote za dunia, hapo hawanipati
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,120 Jan 14, 2015 #28 Dragoon said: Kama ni hivyo itabidi safari ikianza wakupige nusu kaputi Click to expand... Haitatosha Dragoon wanioverdose kabisa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Dragoon said: Kama ni hivyo itabidi safari ikianza wakupige nusu kaputi Click to expand... Haitatosha Dragoon wanioverdose kabisa