MADEREVA. Ukiwa na dereva mzuri mbona shwari tu safare moja hiyo
haina jam hiyo one way mpka home
Ukitaka nizirai nipandishe hapo wallah sifumbui macho mpaka nishuke
Hapo nakuwa nimeweka roho yangu wapi
Nitachuchumaa huku nimeziba macho mpaka tufike
Uuuh! na mkidondoka hapo mtatua pia mkiwa mmechuchumaa
peponi..
Kabisa aiseee daaa
ndiyo ujiandae
Hapo nakuwa nisha RIP kabisa aisee
Nitachuchumaa huku nimeziba macho mpaka tufike
Mikononi mwa Israeli mtoa uhai lol!Hapo nakuwa nimeweka roho yangu wapi