Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,779
Wakuu wa nchi Natumaini mnaendelea vizuri na huu mwendo kasi wa mheshima, naombeni kama kuna driver yuko DRC anaye kuja Bongo please tuwasiliane kuna kitu naomba kuniuliza please au anayeefanya hizo safari za kwenda DRC PLEASE LET ME KNOW PLEASE. .ASANTE SANA AND GOD BLESS YOU GUYS,